Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Kuna makengeza hapa.... Mbona wengine waliwajibishwa on the spot without hata kuitwa kwa msg!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom