You have a point, LAKINI mfumo wa makanisa unaruhusu matukio kama hayo kufanyika. Misikitini, Budha temples etc hairuhusiwi kuingia kama si wa dini ile!
Nadhani kama waislamu for example wangelikuwa wanaruhusu mtu kuingia kwenye Ibada zao, nakuhakikishia angelikwenda kusali nao na kutoa hotuba.
Nakumbuka JK alikuwa anainghia makanisani bila shida (nakumbuka alikuwa anatoa neno-I stand to be corrected) kwa vile taratibu za kikristu hazimkatazi.
All in all kama kuna that feeling, then it is better to stop