Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 748
ulivokua unamgonga ulikuja hapa kutuambia? malizaneni tu huko huko
Hivi unapomwagia ndani ulitegemea nini?Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.
Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu.
Sasa kwa muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu.
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yeye anamfahamu na sometimes wanaitanaga wifi.
Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?
Hivi hapo anaweza kunilaumu kuwa nimemchezea? Kwa kweli yeye akaitoe tu hakuna namna.
Dhambi ya usaliti itakutafuna mpaka visiginoNaomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.
Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu.
Sasa kwa muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu.
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yeye anamfahamu na sometimes wanaitanaga wifi.
Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?
Hivi hapo anaweza kunilaumu kuwa nimemchezea? Kwa kweli yeye akaitoe tu hakuna namna.
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.

kwani huyu ndio YULEDuh, pole sana Idrissa. Je, zile milioni 500 zako hajazitumbua kwa vitu vya kijinga kama kuonga wasanii uchwara jukwaani na kuwalipia wanaume wengine nyumba?
kuna salama,dume,rough rider....ongeza na nyingine...the enemy is within your vicinityNaomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.
Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu.
Sasa kwa muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu.
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yeye anamfahamu na sometimes wanaitanaga wifi.
Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?
Hivi hapo anaweza kunilaumu kuwa nimemchezea? Kwa kweli yeye akaitoe tu hakuna namna.
Mkuu naomba niungane na wewe kulaani vikali huu mtindo mchafu na wa kishetani wa kutoa mimba kwani ni kuwaua Viumbe wasio na hatia,jambo ambalo ni kosa mbele ya Mungu wetu.Wanaume tubadilike.We mama yako angekutoa ungekua unaongea huo ushuzi hapa, nini matekeo ya ku sex bila kinga? unajuaje kama baba yako na mama yako walipanga kukuzaa wewe? Huwa nachukia sana mianaume inayowatolea wanawake mimba. Kama hujajipanga au hujampenda mtu kwa nini ufanye nae ngono bila kinga?
We mama yako angekutoa ungekua unaongea huo ushuzi hapa, nini matekeo ya ku sex bila kinga? unajuaje kama baba yako na mama yako walipanga kukuzaa wewe? Huwa nachukia sana mianaume inayowatolea wanawake mimba. Kama hujajipanga au hujampenda mtu kwa nini ufanye nae ngono bila kinga?