meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Hii radio free Africa imenishangaza kwani badala ya kujiunga na matangazo ya moja kwa moja kutoka katika uwanja wa Uhuru ambapo Mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli unaagwa wao wamejiunga na BBC na kuruhusu kuruka hewani kwa matangazo ya propaganda chafu dhidi ya Rais wa Tanzania.
Huu ni usaliti kwa Taifa.
By the way kuna sababu gani ya kuunganisha local radio na radio kutoka nje?
Inaeleweka kuwa Star Media ilibinywa sana na TRA na walitemeshwa mzigo.
MAGUFULI NENDA KWA AMANI MAANA HATA MARAFIKI ZAKO HUKUWACHEKEA.