Punguzo la bei: Asali mbichi lita 20 @110,000

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
395
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza zipo jumla lita 2000 yaani dumu 100 za asali mbichi original ya nyuki wakubwa ujazo wa lita 20.
Mazungumzo kidogo kwenye bei yapo karibuni.
Dar es Salaam pia mikoa mingine kwa utaratibu maalumu.
0626446244

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom