maatope JF-Expert Member Sep 19, 2013 1,424 956 Apr 2, 2016 #1 Loe niliposikia vibanda umiza vinaanza kutozwa kodi niliona huruma lakini nilipoona hii picha nikapata hasira kali ya hili jipu..jinga kabisaaaaaa
Loe niliposikia vibanda umiza vinaanza kutozwa kodi niliona huruma lakini nilipoona hii picha nikapata hasira kali ya hili jipu..jinga kabisaaaaaa
Crocodiletooth JF-Expert Member Oct 28, 2012 20,054 23,503 Apr 2, 2016 #2 kibanda ndio nini kiongozi!
hazole1 JF-Expert Member Jan 3, 2015 4,319 3,916 Apr 2, 2016 #3 maatope said: Loe niliposikia vibanda umiza vinaanza kutozwa kodi niliona huruma lakini nilipoona hii picha nikapata hasira kali ya hili jipu..jinga kabisaaaaaaView attachment 334344 Click to expand... Huyo aliye andika hapo lazima atakuwa aliishia darasa la pili.
maatope said: Loe niliposikia vibanda umiza vinaanza kutozwa kodi niliona huruma lakini nilipoona hii picha nikapata hasira kali ya hili jipu..jinga kabisaaaaaaView attachment 334344 Click to expand... Huyo aliye andika hapo lazima atakuwa aliishia darasa la pili.
robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,084 3,258 Apr 2, 2016 #4 asubuhi ilitoka kwa kichwa PICHA YA LEO akiileya mkuu mpita njia au nimekosea? haya marudio haya....
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 Apr 2, 2016 #5 elimu bure. unawasiwasi na matokeo yake
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Apr 3, 2016 #6 Unataka kumlaumu nani? Anayedhubutu kutoza kodi kwa mtu wa aina hiyo au anayetozwa kodi?