PSPA, HRM, LAW, Planning development

monta

JF-Expert Member
May 6, 2014
1,203
1,567
Wakuu naombeni msaada ni kozi gani itanifaa kusoma chuo nimemaliza form 6 HGL kati ya
POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION UDSM, LAW UDSM , HUMAN RESOURCES MANAGEMENT TIA, AU REGIONAL OR URBAN PLANNING ARDHI, Naombeni msaada wenu wakuu
 
nenda Law.. sabab hata kujiajiri ni rahisi kuliko hizo kozi zingine.. soko la ajira gumu sana
 
Me napenda sana PsPa mkuu..yani toka kitambo nina ndoto za kusoma hiyo
 
Kwanza nakuombea ufaulu vizuri mitihani yako, na zaidi kama kweli unapenda political science nenda mkuu, embrace your dream. All the best.
 
Nini ndoto yako? Je, kati ya hizo hapo juu inakufikisha unapotoka? Ndoto yako ndio muhimu kuliko vyote mkuu! 0765441161 ndio namba yangu, nitafute kuanzia saa mbili usiku tujadiliane
 
Ila kwa upande mwingne LAW is the BEST na ni kozi ambayo ukihitimu Law School na kupata cheti cha ufaulu utakuwa ni product yenye thamani sokoni tofauti na kozi zingne ambazo unaweza toa jasho sana lakin at the end unakuwa AN ARTICLE OF NO COMMERCIAL VALUE. Law ina uwanda mkubwa sana wa soko.
 
Me napenda sana PsPa mkuu..yani toka kitambo nina ndoto za kusoma hiyo
PSPA iko poa ina politics hasa first year semester zote mbili, public administration, pia Kuna course za kuopt kutoka international relations na human resources mgt na sociology kidogo kama course mbili au tatu...

Kama unampango WA kuajiriwa, ajira zake ni public administration na human resource management though siku hizi unaweza kufanya kazi ambayo hujaisomea

Kila LA kheriiiiii
 
Sawa mkuu..sasa kwa pale udsm wanachukua watu waliopata pointi ngapi?
 
Kwani HRM ina deal na nini hasa?
 
Sawa mkuu..sasa kwa pale udsm wanachukua watu waliopata pointi ngapi?
Sifaham kwa sasa,
Tafuta prospectus ya UDSM
Japo kwa sasa utapata ya 2015/2016

Ushauri wangu Subiri matokeo then wakat WA kuapply vyuo Huwa kunakuwa na miongozo... Mie nshasahau sasa ni kitambo sanaaaa
 
Nini ndoto yako? Je, kati ya hizo hapo juu inakufikisha unapotoka? Ndoto yako ndio muhimu kuliko vyote mkuu! 0765441161 ndio namba yangu, nitafute kuanzia saa mbili usiku tujadiliane

Mhh huu mjadala mtakaouanza saa mbili usiku umenikonga nyoyo zangu kwa kweli. Salute.
 
Nadhan usome Law inachance kubwa ya kujiajiri hlf unaweza kufanya kaz za HR pia so n best option.
Mwenyew nimesoma PSPA ila ningerud first year now ningesoma Law
 
Soma course unayopenda toka moyoni..eg nilisomaga hgl now am an accountant and I enjoy it
 
My friend kama upo vizur
Soma Barchelor of Science Economics in project planning and management at Mzumbe.
Ajira za Planning nyingi sana zinatangazwa unaweza ukapata.
By the way project managers frim N.G.Os wanalipwa ela ndefu kinyama
 
Sifaham kwa sasa,
Tafuta prospectus ya UDSM
Japo kwa sasa utapata ya 2015/2016

Ushauri wangu Subiri matokeo then wakat WA kuapply vyuo Huwa kunakuwa na miongozo... Mie nshasahau sasa ni kitambo sanaaaa
Okay.But nimesikia wanataka division 1 pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…