Amsterdam kuna mahali imepewa kibali kabisa na wako nje kwenye vioo unachagua kabisa na ukiingia huku ndani hadi risit unapewa na unakatwa kodi kabisa...
Nchi nyingi za Ulaya ndio hivyo.
Na kuna Madanguro mengine Machangudoa wapo ndani vyumbani mwao.
Kuna picha zao za Video, unamchagua yule unaemtaka, unalipia kabisa mapokezi.
Kisha unasindikizwa mpaka chumba cha Changudoa uliemchagua, mkifika wewe mteja unaachwa chumbani kwa Changu, na yule aliekusindikiza anarudi mapokezi.
Halafu wenzio wanakuangalieni matendo yenu yote, kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Na wanafanya hivyo kuwaangalieni, kwa ajili ya usalama wa Changudoa na wewe mteja.
Chochote kitakachotokea Walinzi wanawapandieni juu.
Kwahiyo kamera zimefunguliwa masaa ishirini na nne kila siku, na kamera huwa hazizimwi.
Na picha zao zinaonekana safi sana