Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

Jul 5, 2024
20
53
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???

2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??

3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.

Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
 
nazan swala n Support kutoka kwa watu n hafifu. Kuna Mobile App moja jamaa Mmoja Kaitengeneza ya online kucheza Draft na Lastcard kimtindo mbali mbali lkn watumiaj n wale watu wa karib anao fahamian nao bhc ambapo inamuwia vigum app yake kutambulik san kwasab ya lack of enough support kwa watu.
 
Hapo me naona tatzo kuna app za aina hyo nyingi sana...kumshawishi mtu adownload yakwako ni ngum sana maana competition ni kubwa mno
 
Wanaokufundisha wamekaririshwa na walio wafundisha nao wamekaririshwa yani huu mfuno wa elimu nichangamoto sana
Shida ianaazia hapo. Unakuwa huna extra knowledge......

Nilichoona wenzetu wako mbali sana kwenye coding, pale walipotengeneza hii "ChatGPT", imetumika akili kubwa sana.

Kufanya mapinduzi ya namna hii... Mfumo wa elimu inabidi ubadilishwe kuazia Std ONE. Mwanafunzi asomee ujuzi siyo anasoma ili aje aajiriwe na serikali au kampuni fulani. ( miaka 7 - 18 mtu amekomaa tu na maandishi ya kwenye makaratasi bila faida yeyote ile, ukimaliza chuo serikali inakuambia ujiajiri 🚮🚮🚮🚮 )
 
nazan swala n Support kutoka kwa watu n hafifu. Kuna Mobile App moja jamaa Mmoja Kaitengeneza ya online kucheza Draft na Lastcard kimtindo mbali mbali lkn watumiaj n wale watu wa karib anao fahamian nao bhc ambapo inamuwia vigum app yake kutambulik san kwasab ya lack of enough support kwa watu.
Ukiingia kwenye simu yako, si unaona Apps nyingi zinatangazwa, yeye anashindwa vipi kufanya hivyo?
 
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???

2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??

3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.

Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
Kabla ya kulalamika wewe umefanya nini
 
Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
Mkuu acha kuita Ubunifu wa watu Stupid ilihali wewe hamna ulichobuni chochote zaidi ya Criticism tu.

Matatizo yanayohitaji solutions za Systems ni mengi so kadri siku zinavyoenda watu wanakuja na solutions mbalimbali. E.g., Mifumo mingi ya Accouting & Sales siku hizi inatengenezwa na Watanzania.

Be a Man, appreciate walichofanya wenzako then Leta mawazo yako pia wayafanyie kazi ili jamii inufaike.
 
Nilikuwa namsikiliza siku moja masudi kipanya alikuwa akisema hiki sio kilimo cha matikiti hapa alikuwa akizungumzia mladi wake gari, ni kweli tz tunaweza tusiwe na maprogrammer ambao wapo vizuri katika hizi kazi lakini ili tuweze kutengeneza app au mifumo yoyote ile ya technolojia inahitaji akili nyingi sana.
 
Hakuna hela kwenye hiyo kitu kwa bongo, najua mnaziona tu app na gemu mnafikiri ni mtu amekaa anatengeneza, nenda kwenye gemu yoyote kamili utaona ni kampuni inayoajiri mamia hata maelfu ya watu, gemu zinatengenezwa miaka, fortnite inatengeneza $ 20 billioni kwa mwaka, Sony wametumia $ millioni 200 kutengeneza gemu yao ambayo inekuwa hasara wameiondoa sokoni, mara moja moja independent devs wanahit kama yule wa flappy bird lakini sio rahisi hasa siku hizi kubahatisha sio rahisi, hasa bongo sidhani kama kuna mtu ananunua app au gemu.
 
Watu wanakosea, ukishatengeneza kitu, wekeza kwenye kujitangaza ili iweze kufahamika.
Ili uweze kutangaza unahitaji hela inayoingia au hela ya mwekezaji na mtumiaji unayempata inabidi alipe mwisho wa siku, kwa mfano hizi ads za mobile sio cheap tuseme kupata installation 1 mpya unahitaji $3, lakini watumiaji wako life time value yao ni $2 hiki ndo kiasi watakachokulipa kwa kulipia au kwa faida ya matangazo tangu wainstall hadi wafute app yako so moja kwa moja utaona kutangaza app yako ni hasara. Kwa TZ ndo disaster kabisa watumiaji hawanunui app na ads kwa bongo hazilipi hakuna advertiser anayetaka kuwalengabwatu ambao hawanunui kitu.

App kubwa zinahitaji devs wengi na sio devs tu zinahitaji wataalamu kila sekta sales, marketing, desig data etc, nendeni mkazichunguze baadhi ya hizo kampuni za app mnazotumia mtakuta zina mamia ya wafanyakazi, Uber wana Android devs tu zaidi ya 200 kila mmoja wao anabeba zaidi ya $1-200,000 kwa mwaka wengine hadi $500,000 fikiria cost za kuendesha hiyo biashara.
 
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???

2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??

3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.

Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
NILISHA SEMA SANA HII KITU KUWA TZ HAKUNA MAPROGRAMMER...NA SABABU NILISHA ZITOA SANA ....UWEZI KUWA PROGRAMMER WA MAANA KAMA HAUPO LOGIC
 
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???

2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??

3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.

Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
Kareem Design anakuja na game kali litaitwa BUS SIMULATOR TANZANIA
Muangslie Instagram kuona Project zake
 
We jiulize tu, hizo development zenyewe mnajifundishia kwenye framework platforms tayar kama Yii au Djando au Laravel. Yan washaku "developia" halad na wewe et unasema una develop? 😂.
Ma frameworks yenyewe tayar yako soo much intergreated with AI for code auto-generation mpaka schema unatengenezewa sasa wewe ni developer au mpumbavu tu??
Vijana siku hizi wanatoka chuo HAWAWEZ KUANDIKA CODE KAVU KWENYE NOTEPAD AU TEXTEDITORS hawaweziiiii KU CODE FROM SCRATCH HAWAWEZIII.
Sasa ndio mjiite ma developer nyie si chawa kunguni tuu!!!

Kuna binti mmoja mwaka jana nikamuondoa katoka chuo ARDHI university mwaka wa 3 degree ya information systems nin sijui, hawez kaundika hata SQL query achana na functions??

Niliumia sanaa.
 
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???

2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??

3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.

Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
Investment mkuu.
Watu wanapitch projects huko mbele wanapata investors.
Tanzania hatujafika hapo kama serikali yenyewe hata haielewi anachifanya fernandes hadi nala ofisi akazihamishia kenya, basi jua ni zaidi ya tatizo.
 
Back
Top Bottom