johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,208
Kama umefuatilia kifalsafa maelezo ya CDF Mstaafu General Mabeyo juu ya hadhi ya Amir Jeshi mkuu utagundua kimfumo Rais wa JMT na hata Zanzibar hawezi kutokea chama cha Upinzani.
Prof Tibaijuka alilieleza hili kidogo kwenye msiba wa Lowassa na Kwamba Edward alimjibu anajua kimfumo Rais wa JMT hawezi kutokea chama cha Upinzani lakini yeye anakwenda Chadema kwa sababu amechoka kunyanyaswa.
Kamati ya Ulinzi na Usalama Kitaifa ni chombo muhimu sana, Wanasiasa Zao ni mbwembwe tu.
Ramadan Kareem 😄