Prof. Lipumba aipasua CUF,CHADEMA wawapuuza

Ha ha ha, Yaweza kuwa kweli? Lakini sidhani. Nikimwangalia usoni, Prof naona wazi hawezi kufanya haya mambo. Wangekuwa wale jamaa zetu wa Tume ningekubali.

Ndugu yangu usikatae, huyo jamaa yuko madarakani kwenye cheo cha mwenyekiti toka 1999 mpaka hivi majuzi alipozira, unategemea mtu kama huyo ataweza kuishi bila hicho cheo? Kibaya zaidi chama kilikuwa kinapoteza viti zaidi vya ubunge na udiwani huku bara ambapo impact yake ilitakiwa kuonekana lakini amelazimisha tu kuwepo madarakani. Nilitaraji angeona aibu maana baada ya yeye kuzira ndio wangalau chama tena kikapata nguvu huku bara kwa kupata madiwani na wabunge wengi, hivyo kwa msomi anayejitambua angetoa tamko kabisa hataki uwenyekiti.
 
hao CUF wameshakufa kisiasa. Kitendo cha kumsikiliza maalim seif na kususia uchaguzi hakika kimekuwa kaburi kwa chama hicho
Uchaguzi gani? Jamani mbona watu huamua kwa makusudi kuonesha kwa uwazi kuwa vichwa vyao ni vya kufugia nywele?
 
Ni kweli kuna basha hapa anakutaka.Sema mwanamume nikuunganishe ugongwe kiboga.Teh teh
Hivi hizi lugha jamani, are they necessary?? Invisible.... This is how the forum is... Sujui CCM, CHADEMA, CUF.... Wote wenye lugha hizi kindly do the needful hadhi ya jukwaa inapotea....
 
hao CUF wameshakufa kisiasa. Kitendo cha kumsikiliza maalim seif na kususia uchaguzi hakika kimekuwa kaburi kwa chama hicho

Nikuambie tu kwa ufupi ni hivi, kama CUF imekufa CCM ndio imezikwa kabisa... na hasa Zanzibar CCM inaongoza vikosi vya SMZ tu hakuna zaidi ya hilo. Serikali ya sheni iliyojiteua si serikali ya mali wala ya hali..ni alama tu lakini kiutendaji ni haipo imekufa tayari. viongozi waliojipachika madaraka wanaogopa mpaka vivuli vyao kwa kuwa wanajua wanalazimisha kutawala watu wasiotaka kutawaliwa na wao. Ivi nyinyi mnamdanganya nani hasa asiejua kinachoendelea ??? Ivi chama kilichokufa ni kipi? ni kile chenye watu au kile kilichochubuka mbele za watu ? mkitaka msitake CCM haiko tena Zanzibar... tunajua hivyo na nyinyi manajua hivyo..kilicho baki ni udikteta tu !
 
Back
Top Bottom