Hivi pombe inamahusiano gani na pesa? Mbona nikiacha kunywa pombe pesa huwa inanikimbia. Huwa nafulia mpaka kufikia hatua mpaka kukosa hela ya kula. Chaajabu nikianza kugonga c/lite milango ya fedha hugunguka.
Ndugu zangu kinachosababisha ni nini?

Awamu hii nikajifanya jeuri kwamba hata nifulie vipi naacha bia... Weeee kilichonipata ni hatari ikabidi nimpigie mshikaji anitoe japo safari tano. Nilivyo gonga tu hizo bia aaaaah michongo ya pesa si ikafunguka bwana. Nimekoma sirudii kuacha bia