Poll: Mikataba ya hovyo ya madini na hasara taifa limepata, je nani alaumiwe?

  • Total voters
    166
  • Poll closed .
Hiyo kelele ya mikataba yote ya madini ipelekwe bungeni haijaanza leo.
nashangaa kwa sababu wao wamejitungia sheria mikataba ya madini iwe wazi, na kuwekwa hadi kwenye websites ili kila anaetaka aone. Ila cha kushangaza wao tu waliotunga hawajawahi kuona....
 
Wameamka usingizini sasa. Kwahiyo maCCM sasa yanakiri kwamba mikataba mibovu ndo chanzo cha kuibiwa kwenye madini? Wakimalizana na mikataba, turudi kwenye marekebisho ya sheria ambazo maCCM yalizipitisha kwa kuitikio ndiyoooooo!
Kama sheria zinapitishwa na wenye sifa ya kujua kusoma na kuandika kina kibajaj una tegemea nini?
Leo nao wana taka zirudi bungeni. Wakati wapinzani wanazikataa na kutolewa nje ya ukumbi hawakuona kwamba kuna point za msingi toka kwa wapinzani? Na zikirudi bungeni wale wenye elimu ya kusoma na kuandika wataelewa lugha iliyo tumika?
 
Cheti tu Bashite hajakitoa hadi leo sembuse mikataba kupelekwa bungeni...

Hapo ntamkubali Magufuri na kuhamia ccm rasmi akifanikiwa kuipeleka hiyo mikataba bungeni
 
Ikiletwa bungeni ndani ya hii miaka 2 na nusu nipigwe ban ya maisha jf
 
Katika mikataba ya madini tuliyoingia kama taifa kuna pande mbili ambapo jukumu la kila upande ni kulinda maslahi yake. Serikali huingia katika mikataba hii kwa niaba ya wananchi wake baada ya kujiridhisha kwamba maslahi ya wananchi wake yamelindwa. Wawekezaji ni wafanya biashara na katika biashara yoyote lengo kubwa ni kupata faida kwa kutumia gharama ndogo.

Kwa hali iliyopo hivi sasa nchini, kuna maswali yamezuka ambayo yanawaacha wananchi wengi njia panda. Hapa nchini wananchi wanakitegemea chombo chao cha uwakilishi, Bunge, kuisimamia serikali katika utekelezaji wake wa kila siku. Kutokana na ukweli huu wanashindwa kuelewa kama kwenye mikataba inayoingiwa na serikali, je Bunge limehusushwa?

Hii sintofahamu inakuja baada ya taarifa kusikika kwamba mingi ya hii mikataba, ni siri na hiivyo jamii kutaharuki. Swali linaloumiza kichwa ni je yakitokea matatizo kama tunayoyashuhudia hivi sasa wa kulaumiwa ni nani? Je ni serikali kwa kutojua, kuzidiwa akili, kutokuwa makini, au viongozi kwa ulafi kutanguliza maslahi yao badala ya maslahi ya taifa?

Hebu wana JF tupige kura kulingana na kila moja wetu anavyoamini na bila shaka matokeo ya hii kura yatatoa mwanga wa kiini cha matatizo. Unaruhusiwa kuchagua zaidi ya mara moja kama unadhani vipengele zaidi ya moja vinahusika.
.....
......IPO SIKU MUNGU ATASEMA NENO
 
Bila kutafuta jibu mbali,wa kulaumiwa ni wabunge vilaza wa CCM walioishabikia hii mikataba ya kijinga,elimu kwa wabunge ni muhimu sana,afu issue kama hii haikutakiwa kuamliwa kwa wingi wa NDIYOOO,ilitakiwa wajiulize kwa nini kuna vijisauti vya hapanaaa,
Hii mikataba wala haikuingia bungeni ilikuwa ni swala la waziri husika na kampuni na hii ndo nguvu waliyokuwa nayo mawaziri kisheria
 
Selikali ya awamu ya tatu ndio ya kulaumiwa! Nashangaa Lisu anakula sahani moja na Sumaye mmoja ya waliotufikisha hapa alafu eti anajifanya kupiga kelele!
Naomba ushangae wanaokula sahani moja na chaange,yana;mzamba ngereje'kamaragi na serikale ya awamu ya 3 na 4
 
CCM ijivue lawama kwa kuwavua uanachama watu wafuatao:
1. Benjamin Mkapa
2. Jakaya Kikwete
3. Andrew Chenge
4. Daniel Yona
5. Karamagi
6. Kafumu
7. Ngeleja
8. Na wengine wote walitajwa kwenye taarifa hii.
 
Katika mikataba ya madini tuliyoingia kama taifa kuna pande mbili ambapo jukumu la kila upande ni kulinda maslahi yake. Serikali huingia katika mikataba hii kwa niaba ya wananchi wake baada ya kujiridhisha kwamba maslahi ya wananchi wake yamelindwa. Wawekezaji ni wafanya biashara na katika biashara yoyote lengo kubwa ni kupata faida kwa kutumia gharama ndogo.

Kwa hali iliyopo hivi sasa nchini, kuna maswali yamezuka ambayo yanawaacha wananchi wengi njia panda. Hapa nchini wananchi wanakitegemea chombo chao cha uwakilishi, Bunge, kuisimamia serikali katika utekelezaji wake wa kila siku. Kutokana na ukweli huu wanashindwa kuelewa kama kwenye mikataba inayoingiwa na serikali, je Bunge limehusushwa?

Hii sintofahamu inakuja baada ya taarifa kusikika kwamba mingi ya hii mikataba, ni siri na hiivyo jamii kutaharuki. Swali linaloumiza kichwa ni je yakitokea matatizo kama tunayoyashuhudia hivi sasa wa kulaumiwa ni nani? Je ni serikali kwa kutojua, kuzidiwa akili, kutokuwa makini, au viongozi kwa ulafi kutanguliza maslahi yao badala ya maslahi ya taifa?

Hebu wana JF tupige kura kulingana na kila moja wetu anavyoamini na bila shaka matokeo ya hii kura yatatoa mwanga wa kiini cha matatizo. Unaruhusiwa kuchagua zaidi ya mara moja kama unadhani vipengele zaidi ya moja vinahusika.

Hakuna wa kulaumiwa wala hakuna haja ya kupiga ramli, baada ya ripoti mbili kusomwa, tumepata pa kuanzia na vyombo husika viwajibike kama mheshimiwa Raisi alivyotoa maagizo, hizi vote casting zingefaa wakati tulikuwa na viongozi wasioweza kutoa maamuzi magumu, ambao wakati mwingine walitegemea kuangalia upepo unakwndaje na kunaza cover-up zao, huu ni wakati wa kufanya kazi, najua kila mmoja kwa nafasi yake anajua speed ya serikali hii.

Tanzania iliharibika, kila mmoja alitumia nafasi yake kama msomi, mwanasiasa, mzungumzaji mzuri n.k kumuhadaa mwananchi mnyonge na kujipatia maslahi binafsi
 
Back
Top Bottom