Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 31,288
- 52,636
Usinunue simu kwa mtu usiemjua kwa hiyo kila muuzaji namjua? Watu wanabambikiziwa kesi za murder na wanapotea jela kwa hiyo nani awe na tahadhari
Kwaiyo Wamenunua Mtambo Wakujua Simu Iliopotea Ipo Wapi Wana Iba Simu Apa Wapeleke Mkoani Watajuaje? Mmh Akat Kifa Cha Kusachi Simu Hawana? Uwongo Mtu Japo Ni Tahadhari Tuchukue Hatua Na Maisha Yaendele Kwa Jinsi Mtu Atakavyo?
Usinunue simu kwa mtu usiemjua kwa hiyo kila muuzaji namjua? Watu wanabambikiziwa kesi za murder na wanapotea jela kwa hiyo nani awe na tahadhari
Muirushe na kwenye media.
Mimi namsubiria yule dada mwenye ndevu aje atutangazie live ndo niamini!
heading ya post na post haviendani yani ni kama kichwa cha binadamu na kiwiliwili wa tembo
heading ya post na post haviendani yani ni kama kichwa cha binadamu na kiwiliwili wa tembo
Deejaywillzz hakika wewe ni mmoja wapo wa wanajamvi ninao waheshimu sana! ila kwa kweli hiyo heading imekaa vibaya sana maana hapa wengi wetu tulidhani ni suali la bei tu lakini dhahiri hapa unazungumzia simu za wizi ambazo aghalab huuzwa kwaa bei ya chini.Usijali ntakuwa nazileta post zangu kwako kwanza uzikague kabla sijazi post