Mimi kwanza nashangaa na kusikitishwa na nguvu polisi wanazotumia kwa raia.
Huu ubabe hawapaleki popote.Mkiamua kutumia risasi basi hakikisheni risasi inatoka na kuua au kujeruhi mtu.
Kwa kawaida,ukielekeza risasi kwa kitu (aiming) maana yake uko tayari kufyetua na sio kufyetua hewani kama nyie ni wanaume kweli.
Ubabe wa silaha hausaidi bali kuelekezana na kuheshimiana.
Tatizo jeshi linaongozwa na vilaza na maaskari vilaza. Ingekuwa mimi Polisi ningeinfanya ya kisasa zaidi na wasomi wenye mishahara mizuri na marupurupu.