kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,736
nilidhani hizo hostel zilizinduliwa kijijini kama ulivyoeleza katika comment yako ya awali,kumbe ni jiji kubwa la dar.Hamna tatizo lolote la Kujifahamisha na maisha ya Jirani zako. Hivyo ndivyo mtu yeyote yule anaweza kujifunza ni yapi mazuri ya kuiga na ni yapi mazuri ya kuacha. Hili si jambo la kuzinduliwa na VC wa shule au Waziri wa Elimu? RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI ZA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM APRIL 15,2017 | Blogu Rasmi ya Ofisi ya Rais
Mradi Huo uliozinduliwa na Magufuli, ni ya TSH 10 Billion. Kile kinachozinduliwa na Uhuru, ni mradi wa TSH 200 Billion. KWeli NYani haoni Kundule.