Pole binti

Kweli ilikuwa ni raining hell, nimefungua na kukuta picha zaidi
1457189545946.jpg
1457189561891.jpg
1457189573771.jpg
1457189582481.jpg
hii picha ya mwisho huyu binti alipofuliwa macho wakati wa vita
 
mimi nilipoona hiyo picha mwazoni tu, nikajua lazima itakua DRC tu hii
yaani kule watu wanaishi kama wanyama, huwezi amini hadi leo hii kuna watu wanawinda binadamu wenzao msituni na kuwafanya kitoweo
achilia mbali hilo la kubaka, ubakaji kule ndio staili ya kumpata mwanamke huko Congo vijijini, sio kutongoza

Mimi naona itakuwa ni MSUMBIJI. Huenda askari hao ni wa RENAMO wapinzani wa FRELIMO, kama ilivyo kwetu CHADEMA/CUF/UKAWA wapinzani wa CCM.
 
Back
Top Bottom