STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
- Thread starter
- #21
PLAY BOY - 04
.
Nilimpa chupi yake kisha akanitupia yangu na
kuondoka zake,nilijihisi kama amekuja na gundu
flani kwani hata cku moja cjawahi kukutana na
vituko kama hivi.
"hivi Jef..., embu niambie lini utaacha umalaya
wako wewe...? hivi upendwaje wewe...?" Kiukweli Ney alikuwa amechoshwa na tabia yangu
lakini kidume ni kidume tena mi nikidume cha
mbegu haswa.
Ney aliongea mpaka ikafikia hatua akaanza kutoa
mchozi.
"ney acha kulia pliz mi ni wako tu..." "Jef...? nalia kwasababu yako,hupendeki kwanini
jamani...? Au sikuridhishi...?"
"hapana jamani sweety wangu..."
"hapana nin..? Haya na leo nakupa vyote uende
tena kwa hao wengine..."
Nilichekelea ushindi kimya kimya huku tukianza mapenzi ya nguvu,mpaka mwenyewe akanikubali
japo cku zote jembe huwa halichoki hata akipata
madem kumi kwa siku.
Tulipomaliza nikafunga mlango kisha nikaweka
funguo juu ya mlango nakuandika mesj kwa
mshikaji wangu alionipa getto. 'MWANA KAZI IMEISHA THENX U KWA GETTO...'
*******
Ni cku mbili zimepita tangu nimefanya sex na wote
wawili Ney na Jacky ambapo sasa mzuka ulikuwa
umenirudia tena lakini kwa kutaka mademu
wengine na c wale wale,nikiwa nipo home kwetu
kama kawaida yangu nikaingia mtandao wa kijamii
facebuk nakuanza kutafuta mtu wa kumzingua. "Dah huyu dem anajifanyaga ananata wacha leo
niingie kichwa kichwa tu"
'Hellein Mganga' ndio jina lililosomeka miongoni
mwa friend wangu wa facebuk waliokuwa hewan
kwa muda huu,nikamtumia mesej fasta.
'Jaman mambo...? Nimependa pozi lako kwenye pic...'
Haikufika muda akawa ameshairudisha majibu.
'thenk u friend..'
Ikawa kama kosa kurudisha majibu kwa kidume
mimi.
'...c vibya nikaskia japo sauti yako sa hiv kabla cijalala my friend'
' kivipi...? Hivi hivi kwa mesej inatosha Jef...'
Alininyong'onesha lakini kidume mimi ckukata
tamaa zaidi ya kumkazia.
'...pliz japo unibip basi, my number ni
071313****...' 'Nimesema noouw.., G9t...!'
Dah..! inamaana ndo nshatoswa tena hivi jamani,
nilitafakari mara mbili mbili bila kupata majibu,
mara cmu yangu ikaita,kucheki nakutana na
namba ngeni, ikabipu then ikakata fasta,amani na
furaha ya ajabu ikaanza kunijia nakuamini mtoto kashaingia laini, nikapiga ile namba fasta kwa
mbwembwe zote.
"helloow beiby...!"
"dah mwana cku hizi tunaitana beib...?"
"ahh..! sorry mwana nani mwenzangu..."
"acha mambo ya kisenge..." Mara ile cmu ikakatwa kumbe alikuwa ni mshkaji,
baada ya hapo nikakutana na missed call namba
nyingine tena ambayo siifahamu,
"yale yale yatakuwa..."
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikiinyanyua tena
cmu yangu nakuipiga kwa mzuka wa hali ya juu huku nikiilegeza sauti yangu kama mwanzo.
"hellow...!"
"yap mambo.."
"Oops..! naongea na nani mrembo...?"
"helleiner..!"
"Omg... inakuwaje pande hizo..?" "freiish...!"
"nikwambie kitu helleiner...?"
"yap...!"
"ua so sexy more dan sex..."
"thenx Jef.."
"vyip umevaa nini ucku huu..." "only 9t dress..."
"...i wish nikuöne cku moja da way ulivyo coz una
swagga, unajua how to dress dah..! hivi una date
na nani vile....?"
"whaaaaaaaaaaaaaattt..?" +++ Itaendelea...