Dah! Kweli kabisaa kuna jambo watajifunza.
Kuna wanawake 3 walinikataa kwa nyakati tofauti. Nikaacha kuwafuatilia kabisa. Nikapata taabu sana kwao.
Sijui walinifatilia kwa undani zaidi wakanifahamu zaidi kila mtu kwa muda wake sijui.
Saizi wananiomba misamaha utadhani niliwakosea jambo kubwa maishani mwao.