Pikipiki namba MC 423 AZD iliyoibiwa, imekamatwa wilaya ya Bunda

jaffari yogo

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
685
148
Pikipiki aina ya SANLG NYEKUNDU yenye namba MC 423 AZD iliyoibiwa imekamatwa. Kwa taarifa zaidi mwenye nayo awasiliane na KITUO CHA POLISI WILAYA YA BUNDA MARA chumba cha C I D.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…