Pikipiki inahitajika 600+Cc

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,154
13,377
Habari zenu?

Kuna jamaa yangu anataka kununua pikipiki kuanzia 600Cc (mpya au used)
Kama unayo na unauza naomba maelezo yake
Kama manufacture year,Cc,mechanical condition,Registration number,imelipiwa kodi na vibali vyote nk
Naomba unitumie picha na hizo details,pamoja na picha kwenda mbuyi83@yahoo.com
Napatikana Arusha mjini.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…