mcc haijaweka ushoga kama masharti jamen achene kupotosha,,,,wanataka utawala wa sharia mlizojiwekea wenyewe na haki za binadam kuheshimiwa,,,,inamaana maraisi walopita walikubali ushogaa,,hayo mambo yalikuwepo toka Enzi za wayunani,,wachen maneno mepesi makasome vitabu,,,hata ukigoogle utayakuta sio kutwa mko fb