Bunge kihistoria kabisa liliasisiwa ili kupata wawakilishi wa wananchi ktk mikutano ya kitaifa. Ambapo ni ngumu kukusanya wananchi wa nchi nzima wakae na kuamua jambo kwa pamoja.Hiyo ni special case na kama hao viongozi wa kata sijui nini wanatosha kwanini kuwe na wabunge na serikali ipoteze mabilioni ya mapesa kila mwezi kwa kuwalipa wabunge?
Kwahiyo wanatuwakilisha ktk maamuzi ya kitaifa na ktk kutunga sheria zetu