Picha: Maboga ya Diamond Platnumz...

Diamond ana utu sana... Alikuwa hafahamiani na wala si ndugu na harmonize ila yupo nae sasa kaa kakayake wa Damu, ashindwe kuwajali watoto wa mwenzi wake?

Diamond anamoyo mweupe saaaaana..! Usipoligundua hilo mchawi, au umerogwa.
Kidingi mimi naona huyu kijana hatatoka madarakani mapema kwa raha anazowapa wananchi. Huyu kijana kila siku anagusa mioyo ya watu kwa mambo mengi mema. Mimi naona aendelee kuwa mfalme kwenye hii fani hadi hapo Mungu atakavyoamua vinginevyo.
 
ni shidah, nashukuru Mungu kuepukana na kero za kuitwa baba wa kambo
 
Ndio maisha hadi guraha mingi kingi kuona picha zao.

Wengi wanaongea utazani yeye ndie wakwanza duniani kuwa baba wa kambo.

Na wewe kuita maboga ungetumia neno lingine na bado.

Wengi Mtanyooka tu
 
Diamond ana utu sana... Alikuwa hafahamiani na wala si ndugu na harmonize ila yupo nae sasa kaa kakayake wa Damu, ashindwe kuwajali watoto wa mwenzi wake?

Diamond anamoyo mweupe saaaaana..! Usipoligundua hilo mchawi, au umerogwa.

Nakubaliana na wewe...ukifuatilia life style ya Diamond sio mtu wa kujikweza kulinganisha na nafasi aliyonayo.

Kuna Wasanii wengi wala huhitaji elimu ya chuo kuona wanavyopandisha na kujisikia...nyodo kibao na hata bado hawafika robo ya ngazi wanayoipanda.

Leo alikutanishwa na shabiki wake dreva wa bajaji.....jamaa ni very cool, na siku zote atabarikiwa.
 
Kidingi mimi naona huyu kijana hatatoka madarakani mapema kwa raha anazowapa wananchi. Huyu kijana kila siku anagusa mioyo ya watu kwa mambo mengi mema. Mimi naona aendelee kuwa mfalme kwenye hii fani hadi hapo Mungu atakavyoamua vinginevyo.

Kweli mkuu
 

Jamaa yupo very humble, ndio maana anafanikiwa kwa anayofanya.. Mtu ambaye anaweza akapotezea mara mojamoja kupost mastar birthday zao na kuwapost mashabiki hata ambao hukukusudia anatisha sa?na..

Hail to the King of Afropop..
 
Kweli mkuu
Huyu kijana kashaamua kufanya muziki kazi ndo maana kila itokeapo fursa hafanyi kosa. Miaka ya 2011 na 2012 ilikuwa ukienda Nairobi nyimbo za Ali Kiba, Sam wa ukweli na Rose Mhando zilikuwa zinatamba sana huko. Huyu Diamond hakuwa lolote. Sasa huyo Sam & Kiba nilijionea live walivyopoteza fursa ya wazi kwa soko la Kenya. Hii juzijuzi 2014 kijana alivyopenya hataki tena kuachia usukani. Awanyooshe wenzake walikuwa wamelala sana. Achana na nyimbo zake Kitu ambacho alinifurahisha kuliko vyote ni kitendo cha kumla Uwoya kiukweli nilimwona genious.
 
Halafu kile kilichokuwa kimume cha zari kinatumia nguvu nyingi sana kionekane bado kipo karibu na zari.
 
Sasa mkuu mleta uzi,itakuwa maboga au maua?maana huo msemo nnavoujua mimi ni ukipenda boga penda na ua lake!so thread yko ilibidi iwe titled "maua ya diamondplatnumz"...au ulikusudia kuchekesha pia?
 
Huyu dogo yuko vizuri sana I like his life style, wameendana sana na huyu dada umri is just a number, muhimu wanapendaa,; kitendo cha kishujaa alichoonesha Diamond ni kuwapiga pichu mikononi wa kibongo. wamekomaa halafu kila siku age zao ziko pale pale 26 haaaahaaaha...Diamond kamua mkuu mtoto wa kiganda yuko nyororooo -soft original sio magume gume ya kibongo mikorogo kwa kwenda mbele ngozi ngumu kama ngozo ilolowana then ikakauka...fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Kumchukia PLUTNUMZ ni kujipa SUMU mwilini maana kadri umchukiavyo ndo anazidi kuwa almas ya pink
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…