Mimi sio fan wa diamond kwa some reasons, ila diamond is the definition of a man...trust me
Mimi sio fan wa diamond kwa some reasons, ila diamond is the definition of a man...trust me
Nimecheka sana aisee daah!Uchokozi huu jamani
Kidingi mimi naona huyu kijana hatatoka madarakani mapema kwa raha anazowapa wananchi. Huyu kijana kila siku anagusa mioyo ya watu kwa mambo mengi mema. Mimi naona aendelee kuwa mfalme kwenye hii fani hadi hapo Mungu atakavyoamua vinginevyo.Diamond ana utu sana... Alikuwa hafahamiani na wala si ndugu na harmonize ila yupo nae sasa kaa kakayake wa Damu, ashindwe kuwajali watoto wa mwenzi wake?
Diamond anamoyo mweupe saaaaana..! Usipoligundua hilo mchawi, au umerogwa.
Diamond ana utu sana... Alikuwa hafahamiani na wala si ndugu na harmonize ila yupo nae sasa kaa kakayake wa Damu, ashindwe kuwajali watoto wa mwenzi wake?
Diamond anamoyo mweupe saaaaana..! Usipoligundua hilo mchawi, au umerogwa.
Kidingi mimi naona huyu kijana hatatoka madarakani mapema kwa raha anazowapa wananchi. Huyu kijana kila siku anagusa mioyo ya watu kwa mambo mengi mema. Mimi naona aendelee kuwa mfalme kwenye hii fani hadi hapo Mungu atakavyoamua vinginevyo.
ni shidah, nashukuru Mungu kuepukana na kero za kuitwa baba wa kambo
Nakubaliana na wewe...ukifuatilia life style ya Diamond sio mtu wa kujikweza kulinganisha na nafasi aliyonayo.
Kuna Wasanii wengi wala huhitaji elimu ya chuo kuona wanavyopandisha na kujisikia...nyodo kibao na hata bado hawafika robo ya ngazi wanayoipanda.
Leo alikutanishwa na shabiki wake dreva wa bajaji.....jamaa ni very cool, na siku zote atabarikiwa.
ni shidah, nashukuru Mungu kuepukana na kero za kuitwa baba wa kambo
Huyu kijana kashaamua kufanya muziki kazi ndo maana kila itokeapo fursa hafanyi kosa. Miaka ya 2011 na 2012 ilikuwa ukienda Nairobi nyimbo za Ali Kiba, Sam wa ukweli na Rose Mhando zilikuwa zinatamba sana huko. Huyu Diamond hakuwa lolote. Sasa huyo Sam & Kiba nilijionea live walivyopoteza fursa ya wazi kwa soko la Kenya. Hii juzijuzi 2014 kijana alivyopenya hataki tena kuachia usukani. Awanyooshe wenzake walikuwa wamelala sana. Achana na nyimbo zake Kitu ambacho alinifurahisha kuliko vyote ni kitendo cha kumla Uwoya kiukweli nilimwona genious.Kweli mkuu