mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,577
- 11,204
@faidhafox usifungue huu Uzi tafadhari!!!
hilo gauni bayaaa mfyuuuBaada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo Ndegi’ kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu aliyemuwezesha kupata ushindi wa tuzo.
“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu pamoja Baba na Mama hakika sijutii kuokoka kwangu na ata wakisema vyovyote I don’t care mimi ni mradi namuomba Mungu na mambo yangu yanaenda.” Lulu
View attachment 331957
Japo siamini uwepo wa mungu, lakini biblia inasema "sadaka ya mwenye dhambi ni chukizo mbele za mungu"Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo Ndegi’ kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu aliyemuwezesha kupata ushindi wa tuzo.
“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu pamoja Baba na Mama hakika sijutii kuokoka kwangu na ata wakisema vyovyote I don’t care mimi ni mradi namuomba Mungu na mambo yangu yanaenda.” Lulu
View attachment 331957
ila dhambi yake ni ipi mkuuJapo siamini uwepo wa mungu, lakini biblia inasema "sadaka ya mwenye dhambi ni chukizo mbele za mungu"
We nawe mbona unajichanganya...unaquote kifungu ambacho hata wewe huna imani nacho ili iweje?Japo siamini uwepo wa mungu, lakini biblia inasema "sadaka ya mwenye dhambi ni chukizo mbele za mungu"
Ndio utambue mnaibiwa mnapoambiwa mungu yupo. Si mbaya kushare na nyie kile cha uhakikaWe nawe mbona unajichanganya...unaquote kifungu ambacho hata wewe huna imani nacho ili iweje?
Unajuaje km bado anayafanya hayo mkuu?Walokole siku hizi raha kweli mlokile clubbing kwa sana, mlokole kuchoropoa wanaume za watu kawaida,kusifiwa kulala na Nokia wa Nigeria kawaida siku hizi mlokole kuvaa nusu utupu pia kawaida hahahaaaa haya lakini tusemeje sasa ni hongera zake tu ila Mungu hadhihakiwi kirahisi hivyo.....japo mi pia si mkamilifu ila lulu kujiita mlokole
We we ni nani Ku judge. Dini ziliwekwa ili tuabudu hususani watenda dhambi mkuu hyo dhana yako mfu mwache lulu banaKwaajili ya movie ya UZINZI ya MAPENZI Lulu alipata Tuzo. Dini zetu zinaanguka kwa tamaa ya fedha
Unajua mnasahau kitu kimoja, kuwa Mungu anasamehe!Semeni nyie bhana si wengine tukisema wanadai eti tunahukumu
Umejuaje kuwa we we waabudu kwa roho na kweli duniani hakuna mkamilifu wote tuna mapungufu. Na kwa Mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo. Sasa wabongo huwa MNA hukumu kiukubwa eti wa dhambiYeye aishie kutoa hyo bakshishi ila asiseme ameokoka huku ni kuwadhalilisha wanaoabudu katika kweli.
Wanaweza kukujibu kwa sababu zimetokana na filamu ya uzinzi watajengea choo kuunusuru huo mpunga kuliko kuiacha pesa ipoteeKwaajili ya movie ya UZINZI ya MAPENZI Lulu alipata Tuzo. Dini zetu zinaanguka kwa tamaa ya fedha
Sio sadaka,ni Maombi ya mwenye dhambi .......Japo siamini uwepo wa mungu, lakini biblia inasema "sadaka ya mwenye dhambi ni chukizo mbele za mungu"
Tina...huyo aliokoka tangu akiwa gerezani. Sasa niambie toka ametoka gerezani amecheza makidamakida mangapi hapa mjini. Mungu anasamehe ndio lakini sio kwa staili ya kushika maiki kanisani afu unapitiliza guest. Nakuja sasa hiviUnajua mnasahau kitu kimoja, kuwa Mungu anasamehe!
Pia moyo wa mtu jamani, who knws km kaamua kubadirika?
Simtetei lkn hamuwezi jua jamani!
Imeandikwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza!
BTW..... Nichek, upo wap
Mmh, anapitiliza guest!!!!Tina...huyo aliokoka tangu akiwa gerezani. Sasa niambie toka ametoka gerezani amecheza makidamakida mangapi hapa mjini. Mungu anasamehe ndio lakini sio kwa staili ya kushika maiki kanisani afu unapitiliza guest. Nakuja sasa hivi