Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

Mkuu hatupingi kazi tuna hoji gharama kama ni kweli majengo yote hayo yametumia bl10. Kama unakumbuka wiki iliopita benki kuu walifungua ofisi Mtwara ya ghorofa tatu na gharama ilikuwa bl 38 sasa how come kijiji hicho kigharimu 10bl.
Ulishawahi kujena kijumba hata kama cha wapiga kura wa Lissu kule Singida, cha SLOPE la nyasi au una ubishi tu wa ngarenaro
 
Mkuu hatupingi kazi tuna hoji gharama kama ni kweli majengo yote hayo yametumia bl10. Kama unakumbuka wiki iliopita benki kuu walifungua ofisi Mtwara ya ghorofa tatu na gharama ilikuwa bl 38 sasa how come kijiji hicho kigharimu 10bl.
Unaweza kujenga nyumba ya vyumba vitano ikatumia Million 100 lakini pia ukajenga nyumba vya vyumba kumi ukatumia Million 40 pekee...
 
  • Yanavutia balaaaaaa!
  • Hongera Raisi Magufuli, Hongera TBA, Na hongera kwa kila mtu aliye shiriki kwenye huo ujenzi.
  • Rai yangu kwa uongozi wa UDSM: Wahakikishe bustani za maua na miti za hiyo hostel zinastawi, kwa ajili ya kunogesha zaidi, wasije wakatuaibisha kama UDOM wanaoshindwa kukuza miti.
  • UDOM wana majengo mazuri lakini mpaka leo hakuna miti, ni jua na vumbi kila sehemu.
 
Ujenzi wa majengo 20 yenye uwezo wa kuhudumia zaidi ya wanafunzi 3,840 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo kila jengo lina ghorofa nne umekamilika baada ya kuchukua muda wa miezi minane.

Suala kubwa nililojifunza katika siasa za Tanzania ni kuwa na kiongozi shupavu anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua bila kujali kelele za wanasiasa wanafiki na wale wasioamini.

Kuna wengine walileta thread hapa na kuwaaminisha baadhi ya wana JF kuwa wataleta gharama kamili ya ujenzi lakini mpaka sasa wameingia mitini kwa sababu uwongo wao ulitumia lifti kuwafikia walengwa lakini kwa sasa ukweli unafika kwa kutumia ngazi.

Kama ukipenda kuwasoma wanafiki na wasioamini pitia/gonga LINK==> Ujenzi wa flats 20 za ghorofa nne kwa Tsh bilioni 10 ni uwongo

Picha hizi pia zinatoa fundisho kwa wasioamini ambao pia wameainishwa kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu ndani ya Quran na Biblia.

Kwa wale wanaojua Quran wanaweza kuelewa maana ya maneno yangu kupitia verse 44 ya Surah Fussilat (41).

Kwa wale wanaojua Biblia wanaweza kuelewa maana ya hoja yangu kupitia Yohana 20:24.

Kuna msemo usemao, Kama hujui kusoma, hata picha huwezi kutazama?

Focus and perseverance is what separates winners from losers.

C6Y4mVSWAAAmRiR.jpg

C6Zv2e6WcAIwrby.jpg

C6Zv8BbXQAAryhq.jpg

C6Zv_w2WMAA8-fS.jpg

C6ZwBikWMAAhggo.jpg

C6Y4rXJWQAEoYRf.jpg
Huree president JPM Hapa KAzi Tu. Ila kuna Architect mmoja TBA namhifadhi jina aliniambia kuna variation ya zaidi ya mara mbili ya bei elekezi ya RAIS. Anyway ni kweli lakini kikubwa majengo yamekamilika kwa wakati muafaka. Hongera sana RAI wetu.
 
Back
Top Bottom