Picha: Acheni utani, Wema mrembo bhana.

For sure! I adore her. Sema mambo mengi ila she is naturally beautiful, haswa kama ajaweka makeup namawigi yake. Ndo anavutia. Pia akiva ushungi ndo nampenda zaidi
Umeshawahi kumuona akiwa ajaweka wigi na kupiga make up?!

Ebu tuwekee picha yake na sisi tujionee
 
Huyu msichana mrembo jamani, yani hachoshi kumuangalia, anavutia kila sehemu kwa kweli, ila ndo kama walivyosema wahenga kizuri hakikoi kasoro, ila kwa urembo tu madam nimekuvulia kofia, wewe ni untouchable, zari anasubiri,mtoto unawaka kila idara, mama ako alizaa kwa kweli, mwache ajishebedue na akina steve kwa kweli
07f0e447f7eedfc200be85d8c3bd6029.jpg
Hizo make up tu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom