Ndege kupaa inahitaji hewa. Hewa hii inaprovide upward thrust ku-overcome gravity ili kwenda juu kwa kutumia zile bernoullis principles. Kwa hiyo tunaweza kusema gravitation inahusika kwenye mahesabu ya weight ambayo hata ndege wa angani anatumia. Kwenye vacuum ndege haiwezi kuruka kwa principle inayotumia sasa. Rocket huwa inabeba fuel ambayo inaieject kwa spid kubwa kupata thrust, kama 3rd law of motion inavyosema. Kwa hiyo rocket haihitaji atmosphere ili kuruka. Kwa hiyo hata baada ya kutoka nje ya mvuto wa dunia inauwezo wa kuendelea na safari as long as fuel ipo. Mahesabu ya huko kwingine ni kucheza na gravity zaidi.