stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,616
- 5,528
Is it a war on Islam or a War Against ISIS, No way if this is going o happen ISIS will be defeated, but what next?
...I would be very careful with sites like this, unless kama napenda conspiracy theories.Whatdoesitmean.com reports:
...Habari ya late 2015.Je, hao askari wa China walipelekwa Syria? It could have been a very big news. How did i missed it?Though the US corporate-propaganda media continues to blackball from the American people Hersh’s “bombshell” article, this report notes, 2015 has become the year Russia exposed the barbaric nature of Western powers—from their criminal conspiracy for regime change in Syria, to aggression against Yemen, Iran, Russia, China and any country that does not toe the line—and has, also, exposed for the entire world to see that the Obama regimes fight against the Islamic State has all been pretended.
...The prophet of bad financial news. Akiwa na wasiwasi na soko, baada ya muda si mrefu, linaporomoka. Sidhani kama watu wa Asia wanampenda huyu. Wachina hawampendi. Kuna hata waMarekani hawampendi.Echoing Congresswoman Gabbard’s fears, this report further notes, is billionaire investor George Soros, who warned the Obama regime this past summer that China might use the Levant War to mask its mounting economic problems and stated “should the external conflict escalate into a military confrontation with an ally of the United States such as Turkey or Japan, it is not an exaggeration to say that we would be on the threshold of a third world war.”
...Hii habari imebebwa na sites zinazobeba conspiracies, hamna credible site yeyote iiandika, ikimaanisha ni uzushi uliochanganywa na vipande vya ukweli. A conspiracy.
ISIS imeundwa na USA na walikuwa wanajidai wanapigana nao hao so called ISIS, kumbe wanawasaidia. Urusi wakawastukia na sasa China imeelewa.
Why US is stunned badala ya kufurahia?
vipi umerudi bibie,ISIS imeundwa na USA na walikuwa wanajidai wanapigana nao hao so called ISIS, kumbe wanawasaidia. Urusi wakawastukia na sasa China imeelewa.
Why US is stunned badala ya kufurahia?
mama mpenda vita huyuMkuu Hoshea kwa nini mambo yatakuwa mabaya zaidi akishinda Hillary?! (just curious)
vipi umerudi bibie,
hakuna mwenye nia ya kusaidia,kila mtu ana interest zakeISIS imeundwa na USA na walikuwa wanajidai wanapigana nao hao so called ISIS, kumbe wanawasaidia. Urusi wakawastukia na sasa China imeelewa.
Why US is stunned badala ya kufurahia?
kutoka masjid leo si al ijumaa bibieUna maana gani? Kwani nilienda wapi hata leo iwe nimerudi?