Hujamjua huyo! Hapo anamtafuta Nasari kwa vile kanunua vitanda vya hospitali kule Arumeru. Huyo jamaa ni hatari sana anapoamua Kutumika katika propaganda. Issue ya Nasari kujitolea kwa moyo wake kuna watu imewaumiza
Hana hoja ya kujenga wala kubomoaJenga hoja, nini sababu ya kuwakataza ?
Hana hoja ya kujenga wala kubomoa
...you said it all brah....seems jamaa anaumia watu wanapofanya charity activities.....sioni kwanini watu wasitoe misaada kama wanaweza kwenye jamii iliyokithiri umaskini kama TZ.....Huko nje ya nchi kama USA watu wanatoa misaada pamoja na utajiri wa watu wao ije iwe TZ!!!....yani badala ya kushukuru watu wanatoa misaada watu wanasema wazuiwe??....amazing.....Noana mtoa hoja anataka kuharamisha misaada hii ili ionekane kama takrima or something...lakini anasahau kuwa hawa wanaotoa misaada tayari ni watumishi halali kwa watu wao baada ya kuchaguliwa(ama kuteuliwa).....hapa hamna swala la hongo...maana watu hawa tayari wanahudimia jamii kwa nafasi zao za ubunge..sasa unawazuia ili iweje???......Mtoa mada angesema serikali wa discourage michango ya harusi ili watu wachangie maendeleo yao ningeelewa ana uchungu na maisha mabovu ya watanzania...lakini kwa ku suggest kufutwa misaada ya wabunge kwa watu wao ni unafiki.....Hoja au mapendekezo ya mtu aliye out of touch... Hata huko ulipo kuna viongozi wa kuchaguliwa wanatoa misaada uner their name of their charities, sasa sijui inakuaje unaleta haya wakati Tanzania unaijua
I think you are doing this simply kwasababu umeona mwamko wa wabunge wa ukawa kuchangia maendeleo ya majimbo yao... Kinakuwasha, kinakuuma, kinakukereketa na kukupwita
Wacha watanzania tuishi kitanzania, wewe kama unaipenda sana tanzania rudi nyumbani tuishi wote the "real life"
Yes Hii ni Rushwa ndani ya hisaniKwani hilo ni jambo baya?
Hahahaha!mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa
shibe mwana malevya njaa mwana malegeza
yaani umesubiri umeshiba vizuurii kisha ukaja kujamba jamba eti ndio hoja
Ujumbe wako mzuri sana kaka, misamiati mingi inatumika lakini haina uhusiano wa moja kwa moja na shida za walio wengi. Wachache wanafaidika na wengi wanabaki na maisha ya shida. Nimesikiliza taarifa ya habari ya usiku wa leo kupitia Channel 10, wanasema duniani kuna watu 60 ambao ni matajiri wenye kuweza kuwalisha watu wote duniani. Ni hawa kina Bill Gates ambao wakija Afrika wanapewa majina tofauti na ambayo yanajaribu kupunguza makali ya unyonyaji wanaoufanya, ambao unawaumiza walio wengi.Duh kweli tumeharibiwa; ndio maana mwanzoni tuliwaita "wafadhili" siku hizi tunawaita "washirika wa maendeleo"! From Donors to Development Partners! Na ombaomba wabadilishwe majina - kutoka Ombaomba hadi Wenye Kiu ya Maendeleo!
Ni kweli kabisa, mtu anajaribu kununua akili za watu kwa kutumia maneno machache ambayo ni mazuri sana.Pia hii "misaada" inaweza kuwa rushwa nzuri sana kwa wapiga kura ili kuhakikisha unaendelea kupigiwa kura uchaguzi unaofuata.