Pata kadi ya Payooner inayotumika ktk ATM benki zote Duniani

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
Wakuu. Nakuleteeni umuhimu wa kumiliki hii Card ya payoner ambayo ukisajiri leo utatumiwa kadi yak ndani ya wiki 3 kupitia njia ya posta,then utaverify kwa kuweka upya namba za siri ,utaweza kuweka fedha kwa mfumo wa dollar na utaitumia katika benki zote za ATM duniani hapa tanzania benki zote unatumia hii kadi.

Faida zake.
1:Inaongeza faida fedha zako maana kama ukiwa na dollar 1,000 kila mwezi inapanda thaman.
2:Hakuna wa kufuatilia nyendo a fedha zako
3:Hakuna haja ya kubadili fedha zako pindi ukisafiri nchi yoyote,ukiingia mf NMB wao wanabadilisha tu rate ya dollar na kukupa za nchi husika.
4:Unaweza kutumia kununua vitu mtandaoni nk.
5:Ukisajili leo unapata dollar 25 bure..laini hautazitoa mpaka umefikisha dollar 100 kwa kuweka katika account au kulipwa.

6:Kujisajili ni bure kabisa.
Kusajili ingia katika website yao hapo=>>Payoner Master Card join Free Here
 
Aisee me nina mwezi toka cad yangu iwe shipped,ila bado haijafika,na ubaya zaidi nimesahau my log in information
 
Mkuu jinsi ya kuipata hii Card baada ya kujisajili unaipataje?
 
Mkuu jinsi ya kuipata hii Card baada ya kujisajili unaipataje?

Soma maelezo yangu katika post.
Nimesema. Ukujisajili leo.kuna mahali unaweka post adress ya uhakika ambayo itatumika kukufikishia kadi yako. inatumia siku 21 kufika hapa Tanzania.
 
Ukiingia katika acount yako,utaoneshwa status ya kadi yako,kama iko njiani au nini? ingia kwa account yako.

Fanya hivi.
Ingia katika payooner--Sign in---weka email yako (uliyotumia kufungulia)...weka pasword yoyote...then bonyeza forget password---watakutumia link ya kurest katika email yako
Aisee me nina mwezi toka cad yangu iwe shipped,ila bado haijafika,na ubaya zaidi nimesahau my log in information
 
Maswali mawili ya msingi nimejiuliza kuhusu hii huduma:-

Ni nan atakaye control account yangu ilihali utaratibu wa kusajili account kisheria haujafuatwa kama tulivyozoea benk nyingine??!!

Mim nafahamu kadi ya bank hata kama ni worldwide ATM card hutolewa na bank baada ya kufungua account,sasa hii card inatoka bank au VIP??!!
 
Tuna tatizo la kutokuwa na postal code,je tunafanyeje hapo. Msaada tafadhali
 
1. KADI NILIIPATA

2. NIKAI ACTIVATE

3. ISSUE IKAJA KWENYE KUWEKA FEDHA

4. UJUAJI WANGU WOOTE NIMESHINDWA NITADEPOSIT VIP KWENYE ACCOUNT HIYO NGENI

5. NI MIEZI MIWILI SASA NINALO KAMA PAMBO
 
1. KADI NILIIPATA

2. NIKAI ACTIVATE

3. ISSUE IKAJA KWENYE KUWEKA FEDHA

4. UJUAJI WANGU WOOTE NIMESHINDWA NITADEPOSIT VIP KWENYE ACCOUNT HIYO NGENI

5. NI MIEZI MIWILI SASA NINALO KAMA PAMBO

 
AM in my account now mkuu,nataka nijue if my card imefika
 
Fafanueni namna ya kuweka pesa kwenye hii akaunti sasa sio mnatushawishi kujisajiri tu
 
Ha ha ha watu bana, hebu semeni kuhusu chaji zake na ikitokea mhusika kafa. Vipi kuhusu kuweka pesa.
 
Sio lazima uwe na akaunti labda hizo Bank za wakulima NMB na CRDB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…