IGUDUNG'WA JF-Expert Member Oct 22, 2011 2,071 1,316 Apr 10, 2017 #1 Jamani mods tunaomba mtupe taarifa huyu nguli wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa amepotelea wapi? Watu wanatekwa aisee isije kuwa nae wamemteka. Kipindi hiki kigumu tunahitaji sana uchambuzi wake
Jamani mods tunaomba mtupe taarifa huyu nguli wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa amepotelea wapi? Watu wanatekwa aisee isije kuwa nae wamemteka. Kipindi hiki kigumu tunahitaji sana uchambuzi wake
Ok9 JF-Expert Member Oct 5, 2013 4,542 4,117 Apr 10, 2017 #6 Deogratius Kisandu nadhan nae anatafta kiki
IGUDUNG'WA JF-Expert Member Oct 22, 2011 2,071 1,316 Apr 10, 2017 Thread starter #7 Mushi92 said: Deogratius Kisandu nadhan nae anatafta kiki Click to expand... kisandu hatari sana