Partner wa kusafiri nae

inaelekea wengi hawana ufahamu wa kusafiri kwa ajili ya holidays, kwa ufupi mkiwa 2 na kuchangia gharama kwa 50% inakua nafuu kuliko kusafiri peke yako,kwa nairobi usalama mdogo.
 
Kusafiri na single ambae hamjazoeana ni ngumu upande wa kupiga story labda uwe muongeaji kama denzel wa kwenye Rush hour, make kama ni uongo hadi unatua airport ya jomo utakua umemaliza.
 
Habari za saa hivi wanaJF,

Let me go straight to my point, mimi ni msichana single 25 this year, napenda sana kusafiri kuliko maelezo, yani for leisure na adventure kipato changu ni cha kawaida but I can afford vitu vidogo vidogo.

I plan to travel mwezi wa 6 au 7 kuelekea Nairobi so I need mtu wa kusafiri nae either male au female ila asiwe mzigo,aweze kujilipia expenses za hapa na pale yani iwe half kama tutatumia 4million basi iwe 2m per person.

Anyone interested nicheck inbox

N:B usiwe mtu wa mood swings,it kills the fun.
dada salama poleni kwa safari, naomba update ya leisure yeny nairobi
 
Back
Top Bottom