Naunga mkono hoja hii, japokuwa sasa ivi viongozi wetu wanatulazimishwa kuikataa mahakama hii kwa kisingizio kwamba wanawaonea viongozi wa africa, lkn ukiangalia upande wa pili ni kwamba viongozi wa kiafrica ndio wanaongoza kwa ukiukaji wa katiba zao na ukiukaji huo ndio unaleta fujo na machafuko kwenye inchi zao, ( nyani haoni kundule ) Ebu tuwachunguze wote waliotoa matamko ya wazi kuikataa mahakama hii kama ni wasafi, ninaowajua mimi wote naona kma wana madoadoa mikononi mwao