Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,222
- 157,418
Watu wanafiki kama Ashimu Sabiti (nimeliandika jina hivyo makusudi) hachelewi kusema yeye haoti nywele za uvunguni na hajawahi panda daladalaHuyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.