Poa konda wa OTTAHapo umeibiwa tu kulipia mzigo bila risiti kweli..? Nayazimia sana hayo magari ya OTTA ni fahari sana kusafiri na hiyo kampuni.
Kama kuna kitu hili basi walinuudhi Zaidi ni kupakia Ulazi kwenye Boot lenye mabegi, sikupenda kabisa na nilipowaeleza watoe walikuwa wabishi. OTA Magari yenu mazuri lakini huduma zero.Sikutegemea kabisa kuona wafanyakazi wa ovyo kama wa basi la OTA . Lugha chafu na Mnatoza fedha hadi kwenye mabegi.
Mmiliki kama unasoma haya waonye wa wafanyakazi wako. utapotea kwenye hii biashara muda si mrefu.
Abiria amelipa nauli bado unamdai na pesa ya mzigo, ili iweje? na risiti hamtoi?
OTA Ovyo kabisa.
SUMATRA wamesema abiria asafiri na mzigo usio zidi kilo 20 nyie mnatoa wapi uhalali wa kuchaji nauli?Hapo umeibiwa tu kulipia mzigo bila risiti kweli..? Nayazimia sana hayo magari ya OTTA ni fahari sana kusafiri na hiyo kampuni.
Hawajamaa ni jipu, utasikia anataka.kushindana na superfeo. Uliza sumri.aliishia wapi,?Jana imeharibika doma hapo moro,abiria wamezinguliwa ma hapakuwa na ushirikiano,full lugha chafu, gar imeharibika saa 4 asubuhi,wamekuja kulta gari saa 5 usiku, eneo ambalo hamna chakula wala maji, yaani abiria wamefika njombe asubuhi leo saa moja. Na si leo tu, kuna siku abiria wamefika dar saa saba kasoro usiku, otta haifai, ni kimeo inaharibika mara kwa mara,yaani imebaki uzuri wa rangi tu
Hakuna kitu, ovyo kabia, labda wafanye biashara ya kupakia mbege au ulanzi lakini hawafai kwa matumizi ya binadamu. Ovyo kabisaHapo umeibiwa tu kulipia mzigo bila risiti kweli..? Nayazimia sana hayo magari ya OTTA ni fahari sana kusafiri na hiyo kampuni.
Wataanza kubeba ulanz soon.Hilo basi la kipumbavu sana ni kweli wahudumu wana lugha chafu, huduma mbovu, kuna siku nilipanda kufika pale kitonga tukaingia kupata lunch, sasa kuna mama mtu mzima akashuka na yeye alivyorudi akasahau basi akaenda kupanda jingine, kuna mdada akamuona akamshtua konda, Dah majibu aliyotoa eti mwache kwani nan kamtuma aende kule..nilimaindi nikamtolea mbovu na mm huku dereva kawasha gari likaondoka bibi wa watu kapotea basi hata haijulikani kama linaenda dar au njombe na begi lake lilikuwa mule. Cha kushanga hawa wakinga watu wa ajabu sana yaani walishindwa hata kunisapoti? Maana mm nilikuwa nataka basi lisiondoke...lakini wapi? yaani tangu siku hyo nikawaambia sitapanda tena na sipandi
Wapumbafuu sana hawa otaHilo basi la kipumbavu sana ni kweli wahudumu wana lugha chafu, huduma mbovu, kuna siku nilipanda kufika pale kitonga tukaingia kupata lunch, sasa kuna mama mtu mzima akashuka na yeye alivyorudi akasahau basi akaenda kupanda jingine, kuna mdada akamuona akamshtua konda, Dah majibu aliyotoa eti mwache kwani nan kamtuma aende kule..nilimaindi nikamtolea mbovu na mm huku dereva kawasha gari likaondoka bibi wa watu kapotea basi hata haijulikani kama linaenda dar au njombe na begi lake lilikuwa mule. Cha kushanga hawa wakinga watu wa ajabu sana yaani walishindwa hata kunisapoti? Maana mm nilikuwa nataka basi lisiondoke...lakini wapi? yaani tangu siku hyo nikawaambia sitapanda tena na sipandi