Okhondima
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 1,209
- 934
Juzi juzi tumesikia msanii flani wa kiume akitamani kununuliwa gari na pedeshee mmoja maarufu kama Chiefe creature, Mara tukasikia shoga mmoja apania kumpora Vanessa Mdee nyongo wake,Hata akili hazijatulia mara tukasikia kuna tamasha la kula chips huko Dar. Hivi kukuna nini huko Dar?
Hawa wametoka Kigoma kuja kuiharibu Dar yetu,Dar ya Makonda.
Wanaogopa kule Kigoma wataonwa na wazee wao.
YNWA