Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 643
- 2,688
Mama alichukua nchi na alikubali kuwaudhi watu ndani ya chama na serikali pale aliporudisha mikutano ya hadhara, akaingiza falsafa zake za 4 R yaani Reconciliation, Rebuilding, Reform na Resilience.
Alitaka watu waikosoe serikali lakini kwa staha, kwa mfano mimi nafurahishwa sana na ukosoaji wa Zitto Kabwe.Zitto akikosoa kwa adabu anaonekana sio mpinzani, yaani ili uonekane we mpinzani hapa nchi basi ujitoe fahamu, utukane serikali, umtukane Rais, umuite RC mwendawazimu, matusi kibao, hapo mwenyewe unajiona ndio mpinzani.
Kwa mfano nafuatilia sana mikutano ya Zitto kule mkoani, alienda mkoa mmoja akakuta wananchi wanapigwa kwenye suala la uwezekaji, akawaeleza wananchi ACT wao wana sera gani katika uwekezaji wa ardhi ya kijiji, alisimama akawaeleza wananchi kuwa serikali ni lazima ishirikishe wananchi na sio kupora ardhi ya wananchi, aliwaambia wananchi hakubaliani na suala hilo na atasaidia kwa kuongea na serikali.Wananchi walimshangilia sana, aliongea facts na hakutukana wala kumkwaza mtu.
Sasa jamaa zangu hawa, Mbowe, Lissu na Lema duh, utasikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha mpumbavu sana, mwambieni Lema kasema wewe mpumbavu.Lissu naye utasikia Samia ni mzanzibari, CCM majizi.
Siasa za namna hii watu walimshauri Magufuli azipige stop, Magufuli kwa hulka yake hakupenda matusi na kebehi, Mama yetu ni mvumilivu sana, anapigwa mishale lakini anakaa kimya, vijana wake inawauma sana lakini wafanyeje wakati ameshawaambia hapana, waacheni.
Sasa vijana hawa wa Chadema wamejiona wamefika, kila wakichekecha wanaona Mama hana muda nao, anawaachia waandamane, anawaachia waseme weeee kwenye mitandao, anawaachia watoe maoni yao, amekuwa akiwapa ile Freedom of expression ya kufa mtu.
Huu uhuru watu ndani ya serikali na chama hawaupendi lakini mama amewazoesha kuupenda watake wasitake.
Sasa ndugu zetu wamevuka sana mipaka, siasa wanazofanya kiukweli ni za kuvunja muungano, siasa za kuhatarisha usalama wa Taifa.
Rais tangu aingie madarakani kazi yake ni kurudisha uchumi wa nchi katika mahali pazuri, Rais anajua changamoto za ajira ni kubwa, anajua changamoto za kikodi kwa wafanyabiashara na amekuwa akifanya kila jitihada kuhakikisha nchi yetu inasonga mbele, jitihada na nguvu kubwa ameziweka kwenye kilimo.
Sasa kila anapojaribu kujenga nchi kuna watu wanamrudisha nyuma, akifanya hili akina Lissu wanafanya lile, akifanya hili akina Mbowe wanamrudisha, hata angekuwa Mbowe ameshika nchi hii je angekubali CCM wawe wanamrudisha nyuma kama wao wanavyofanya hivi sasa kwa Rais wetu?
Leo wametokea watu kidogo tu wanafosi Mbowe aachie ngazi, kuna mijitu ndani ya chadema inatembea na silaha ukijipendekeza wamekumaliza, wao wako tayari kuua mtu endapo utamgusa Mbowe, sasa kama nyie mko wakali Mbowe akiguswa vipi Rais wa nchi anafanyiwa dhihaka halafu vyombo vya dola vicheke na nyie vima.
Mtu kama Sugu amepigwa ingawa hatuna ushahidi kwa sababu hatukuona akipigwa lakini Sugu ni jeuri na ana lugha chafu sana.
Sugu huyu huyu Magufuli amemuokoa hoteli yake isivunjwe, leo serikali ya mama ikiamua kwenda kufanya ubandidu ikaagiza hoteli ivunjwe imejengwa eneo silo Sugu c utakufa kwa presha wewe.
Acheni hizo, kama mmeruhusiwa kufanya siasa fanyeni siasa za kistaarabu, sasa wewe unawaambia wale waliokamatwa wasiende kuripoti polisi unamkomoa nani, wakikamatwa utamlaumu nani, nyie chadema mnasisitiza utawala wa sheria, nyie nyie mnaenda mahakamani kumshtaki CP Awadhi halafu nyie nyie mnakataa kwenda Polisi kuripoti.
Haya ni maoni yangu kama nyie mnavyotoa maoni yetu, sisi wengine tunapenda amani, tushazoea amani na utulivu.Leo Lissu anakinukisha anakwenda kupumzika Sweden, nyie mnatuachia balaa.