kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:-
Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na vitu hivi kavaa kwa pamoja
1. Tatoo zaidi ya moja moja na sanasana ogopa sana mwanamke mwenye tatoo ya kipepeo mgongoni na kiuoni.
2. Mwenye kuvaa vikuku pia pamoja na kuwa na ana tatoo hapo kwa hapo.
3. Shanga zaidi ya 4 kiunoni pamoja na kuwa ana tatoo na vikuku.
4. Mwenye kutoboa pua kavaa kipini pia kutoboa kwenye nyusi kaweka kipini au chini ya mdomo kaweka kipini bado kavaa vikuku, shanga na tatoo.
5. Na sifa zote hizo unakuta mavazi yake ni vijora kama ni mweusi anapenda kujichubua halaf ni mpenzi wa singeli na kujibinua binua mwanamke wa hivyo pia anapenda pombe Serengeti lite, castle lite na Savana ndo pombe zake na kupenda vishughuli.
MY TAKE: Ukiona mwanamke ana vitu zaidi ya kimoja kati ya hivyo vitano nilivyotaja hapo kimbia kabisa huyo hafai kuwa wife material kabisa japo wanakuaga mafundi kitandani ila sio kuwa future wife halafu wa hivyo ukijichanganya UTI na magonjwa mengineyo yatakua ndo magonjwa yako pendwa na Azuma na doxy zitakua ndo dawa zako pendwa haswa.....Tatoo ya kipepeo sio nzuri hata