Ogopa kitu umri na steji kinavotesa watu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
5,771
14,664
Leo pitapita yangu nimekutana na sijui ni muweke steji hipi kama zile steji tunazopitia.
Nimepiga hesabu zangu kwa nini maharage yameshindwa kuchacha serikalini ni Kawa na jiuliza kwa kundi kubwa la Sasa.
Wengi wetu steji tulizofikia kukubari kuwa we ushatoka huko ni ngumu,umri nao watu wanaomba kusingukuwa na mwaka sijui nani aliyegundua mwaka wa kuzaliwa.

Mi nacho jiuliza miaka 2006 wema alipata umiss akiwa na miaka 16.
Je mashindano ya umiss yalikuwa yanafanywa chini umri mdogo.

Kama wanasheria tunaweza kuwafungulia kesi waandaji wa miss Tanzania .

Waziri Dorot gwajima tunaomba msaada wa umri huyu
Screenshot_2023-09-29-05-26-21-57.jpg
 
Leo pitapita yangu nimekutana na sijui ni muweke steji hipi kama zile steji tunazopitia.
Nimepiga hesabu zangu kwa nini maharage yameshindwa kuchacha serikalini ni Kawa na jiuliza kwa kundi kubwa la Sasa.
Wengi wetu steji tulizofikia kukubari kuwa we ushatoka huko ni ngumu,umri nao watu wanaomba kusingukuwa na mwaka sijui nani aliyegundua mwaka wa kuzaliwa.

Mi nacho jiuliza miaka 2006 wema alipata umiss akiwa na miaka 16.
Je mashindano ya umiss yalikuwa yanafanywa chini umri mdogo.

Kama wanasheria tunaweza kuwafungulia kesi waandaji wa miss Tanzania .

Waziri Dorot gwajima tunaomba msaada wa umri huyuView attachment 2765867
🤣🤣🤣😆 eti ana miaka 33 wakati kwakweli ni kama ajuza wa miaka 90
 
Watu wanaomba umri mrefu lakini hawataki kuzeeka.......yaani ni maajabu kweli kweli.........

Umri mrefu na afya njema ni zawadi ambayo Mungu anawapatia watu wachache.........ukitaka kujua thamani ya jambo hilo nenda katazame makaburi
 
Kaka ndo kwanza 6:00 we ushazunguka sana
USA ilishakuwa kesi hii.
Unafahamu kesi ya kijana aliyeshotishwa na umeme mpaka kufa miaka 80 imekuja kuanza miaka ya juzi.
Sasa kama sisi tunaofahamu Sheria iliyopitishwa hata kwenye bia hipo usitumie chini ya umri wa miaka 18.
Kwa nini aligombea akiwa na umri wa miaka 16 mwaka 2006 na Leo katimiza 33.
 
Watu wanaomba umri mrefu lakini hawataki kuzeeka.......yaani ni maajabu kweli kweli.........

Umri mrefu na afya njema ni zawadi ambayo Mungu anawapatia watu wachache.........ukitaka kujua thamani ya jambo hilo nenda katazame makaburi
Makaburini mbali umri wa ccm na wanachama wake pamoja na viongozi
 
Umeongea ukweli sana,brother shetani.
Wema anawapiga sana wa tz anawapiga parefuuuu..Hiyo ni kesi kabisa aisee au la wema hataki kuzeeka ili aje kupata whozu mwingine
 
....ukitaka kujua thamani ya jambo hilo nenda katazame makaburi
Tulihudhuria mazishi,Makaburini Shekh akasema sisi ni viumbe WA kushangaza.

Tunauwezo WA kukesha harusini zaidi ya Tano Kwa mwaka,lakini huyo huyo anaekesha harusi mpaka mwaka unaisha Hajawahi kukesha msikitini.

Mkulima mimea ikikauka anasikitika,Umri unaenda hasikitiki🤣🤣🤣
 
Time inakimbia sana ni muhimu kujifunza kutumia resources tulizo nazo vizuri

Leo nimeona post ya q chief akimlaumu babu tale kuwa ana roho mbaya sana....

Ukimuangalia Q chief ni wazi sahv ana msongo wa mawazo akiangalia umri alionao, talent aliyonayo akilinganisha na maisha anayoishi roho inamuuma sana anaona lawama awape wengine

Vijana tusijisahau time inakimbia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom