mkuu ni issue ya muda tu TRUMP kesha jiapiza akiingia ikulu ana maraisi wawili Afrika atakao shughuliaka nao M7 na Mugabe hadi kieleweke.mkuu hii ni aibu alafu picha inaonekana dunia nzima besyigye akiwa kituoni.............
wakati nchi inarasilimali za kutosha tu,...huu ujinga,...
alafu polis hao hao wanatumiwa na muse7 kutesa na kukandamiza rai na kutumika kumhakikishia kukaa madarakani...........
huu upuuz mkuu...........
kweli ndomana viongoz wa afrika wanangangania kukaa madaRAkani muda mrefu.
wanamaovu mengi mnoooooooooooo...........