GEITA FARM
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 336
- 173
Nyumba Ndio Hii
Damn...I was thinking the same damn thing!. TZS 80M for that house?.you gotta be kidding me
Mkuu acha utani, si shule hii...wewe unauza shule za serikali?
Nyumba Inauzwa Jijini Mwanza Wilaya Ya Ilemela Bei Million 80 ... Mahali Ilipo Ni Pasiansi Lumala Mkabala Na Shule Ya Waislam Kiseke Secondary School ... Nyumba Ina 1 Master Bed Room, 3 Bed Rooms, Sitting Room, Dining Room, Kitchen, Store, Public Toilet And Bath Room ... Kwa Yeyote Mwenye Uhitaji Piga Simu Namba 0766922108 au 0656721710.
you gotta be kidding me
Huko Lumala si ndio bomoa bomoa utaanzia??
Tatizo barabara sasa toka hapo sokoni Pasiansi mpk ufike hapo kwako duh!