Nyumba ya kisasa zaidi na mpya
Inapatikana maeneo ya kisasa Dodoma mjini... mita 250 kutoka dar es salaam road umeme na maji mita 10..ipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 33/21.
Gari na usafiri wa aina yoyote ni kwa urahisi zaidi.
Bei ya nyumba ni million 40 maelewano yapo kidogo...ina hati na kila kitu na haina mgogoro wowote
Kwa mawasiliano zaidi na picha
Call: 0714140579/watsapp