Nyerere hakung'atuka

Kama ingekuwa mtu hawezi kujibu hoja zetu, mbona tunasoma historia? Watu wanaogopa kujadili ukweli ila wanapenda kuuliza swali kwamba CCM imefanya nini na kusahau karibu nusu ya umri wa CCM ni Nyerere
 
This thread written
By Ann Talbot
15 November 2000

Nyerere's defenders see the early years after independence as a golden age and exempt him from blame for the social catastrophe that has followed, but in reality his policies have led to the present situation. His so-called African socialism was always dependent on the aid that Western governments were prepared to give to prevent a social revolution in Africa.
Nyerere was able to use the Cold War to extract more concessions from the West than they would otherwise have been prepared to grant, but he remained loyal to the Western camp. That was why, despite his socialist rhetoric, he became a favourite of Robert McNamara when he was President of the World Bank—who directed large amounts of aid to Tanzania.
When this policy changed in the 1980s and aid was cut neither Nyerere nor any other elements in the CCM had any alternative policy but to go along with Western demands since their entire political outlook had always been one of accepting Africa's subordination to Western political policies and economic domination.
While Western aid produced some benefits for the mass of the population, Nyerere's limited welfare schemes were always fundamentally a system of patronage, which ensured political and economic benefits for a small elite. Deprived of these benefits, Tanzanian politicians are attempting to preserve their privileged position by carving out for themselves enclaves in which they will control the resources that Western investors want.
For the mass of the population of Tanzania the future is not in a return to Nyerere's African socialism which was always a false prospect. Nor does not it lie with any of the self-interested cliques that have emerged from Nyerere's CCM, but in developing an independent socialist perspective which unites workers and the impoverished masses of the Africa for the overthrow of imperialist domination. The resources of this vast continent must be taken out of the hands of the banks and transnational corporations and developed in the interests of the whole population

Na alikuwa 100% right

Una haki ya kutoa mawazo yako, Lakini baadhi yetu, na tunakuthibitishia kuwa tupo wengi, Mchango wa Nyerere kwa nchi hii haupimiki. He is the father of the nation. Nyere alileta umoja wa kitaifa, mtu unaweza ukaenda Tabora ukitokea Songea ukaishi bila matatizo. Alijenga taifa ambapo sasa tunajiita watanzania, aliweka misingi mizuri ya uchumi kwa kuleta viwanda vinavyoongozwa na watanzania wenyewe. Watoto wa maskini walisoma bure mpaka chuo kikuu. Mimi nilisoma wakati wa Nyerere na mzee wangu hakuwa na uwezo mkubwa. Nilisoma sekondari bure, nilisoma chuo kikuu bure... Kule Mlimani Enzi hizo tukienda cafeteria kulikuwa na mabomba ya maziwa..mtu unakunywa 'tani' yako. Nikiwa sekondari tulikuwa tunakwenda na sanduku tu na nguo zako. tulikuwa tunapata vitabu vyote bure pamoja na madaftari bure. Kulikuwa hakuna wizi wa vitabu kwani kila mtu ana vitabu husika. shuleni tulikuwa na swimming pool. tunaogelea na kujidai. Shuleni tulikuwa na vviwanja vitatu vya mpira wa miguu, kiwanja kikubwa cha riadha, viwanja vya netball, viwanja vya volleyball, hockey na kadhalika. Tulikuwa na indoor games nyingi tu. Wakati wa likizo tukiwa sekondari tulikuwa tunasafiri kwa kutumia travel warrants na tunapewa chakula cha njiani. Ajira ilikuwa nje nje, makampuni na mashirika mengi. Uzalendo ulikuwa mbele.

Maisha yalikuwa mazuri ila mambo yakaanza kuharibika baada ya vita vya Uganda vya Oktoba 1978...kwa hiyo debate ya Nyerere inaweza kuleta kuleta mjadala mzito kwa baadhi yenu na hasa wale wasioijua historia ya nchi hii. Hivi baadhi yenu mnafahamu kuwa before independence nchi hii ilikuwa na machifu wakitawala maeneo mbalimbali na katika makabila mbalimbali nchini mwetu? Hali hii ilifutwa after independence na nchi ikawa moja.

Kama watanzania tungekuwa makini na yale aliyoyapanga Nyerere nchi hii ingekuwa mbali mno. Vijiji vya ujamaa alivyoanzisha Nyerere vilikuwa na uzuri wake ingawa ni kweli utekelezaji wake ulikuwa na walakini. Ni katika vijiji vya ujamaa ambapo huduma muhimu kwa wananchi zilizogezwa kama elimu (shule), afya(dispensary), maji na kadhalika. Wakati wa Nyerere watu wengi wakiwemo wazee walijua kusoma na kuandika, hali ilifikia almost 90 per cent. lakini ni kweli kulikuwa na mabaya wakati wa ujamaa. Enterpreneurship ilitoweka, uvivu uliongezeka tukiamini kuwa kila kitu kitaletwa na serikali...hali ndio inayoendelea mpaka sasa ambapo watanzania tukiwa humu ndani ni wavivu tukitaka serikali ifanye kila kitu... Nidhamu nayo imetoweka.. mtu umejenga kwenye hifadhi ukibomolewa unataka serikali ikutafutie kiwanja...wabunge nao wakiwa bungeni kila mara wanalia ...'tunataka serikali ifanye hiki...'.

Mjadala wa Nyerere ni pana lakini kwangu mimi mazuri ya Nyerere ni 90% na mabaya ni 10%.

'' Nyerere's limited welfare schemes were always fundamentally a system of patronage, which ensured political and economic benefits for a small elite.''
What a lie..
Hivi watu nchi hii watakuwa tayari wameshasahau elimu ,afya na huduma zingine alizotoa Nyerere..tena bure. Halafu huyu mwanamama mwenye imperialist mentality anasema ''which ensured political and economic benefits for a small elite'' ..kweli ?. Waulize akina Makongoro walisoma shule gani.
Nasema kizazi hiki cha dotcom mjihadhari sana na ''imperialist brainwashing''.Mnachotwa akili taratibu na kulishwa chuki dhidi ya watu waliotutoa utumwani.Na mlaaniwe mnaoabudu maandiko ya mabeberu waliotuachia misingi ya uchumi wa kitumwa.
 
Mbona Mkwere nchi ilimshinda na hakung'atuka? Mpeni heshima yake mzee wa watu. Kwani umeambiwa huko Zimbabwe au Uganda wananachi wake wanaishi paradiso mpaka wawe na marais ving'ang'anizi? Kama nchi ilikuwa na hali mbaya kiasi hicho, Mwinyi aliwezaje kuiendesha? Kung'atuka kwa Nyerere ni suala la misingi tu, usipotoshe.
 
Una haki ya kutoa mawazo yako, Lakini baadhi yetu, na tunakuthibitishia kuwa tupo wengi, Mchango wa Nyerere kwa nchi hii haupimiki. He is the father of the nation. Nyere alileta umoja wa kitaifa, mtu unaweza ukaenda Tabora ukitokea Songea ukaishi bila matatizo. Alijenga taifa ambapo sasa tunajiita watanzania, aliweka misingi mizuri ya uchumi kwa kuleta viwanda vinavyoongozwa na watanzania wenyewe. Watoto wa maskini walisoma bure mpaka chuo kikuu. Mimi nilisoma wakati wa Nyerere na mzee wangu hakuwa na uwezo mkubwa. Nilisoma sekondari bure, nilisoma chuo kikuu bure... Kule Mlimani Enzi hizo tukienda cafeteria kulikuwa na mabomba ya maziwa..mtu unakunywa 'tani' yako. Nikiwa sekondari tulikuwa tunakwenda na sanduku tu na nguo zako. tulikuwa tunapata vitabu vyote bure pamoja na madaftari bure. Kulikuwa hakuna wizi wa vitabu kwani kila mtu ana vitabu husika. shuleni tulikuwa na swimming pool. tunaogelea na kujidai. Shuleni tulikuwa na vviwanja vitatu vya mpira wa miguu, kiwanja kikubwa cha riadha, viwanja vya netball, viwanja vya volleyball, hockey na kadhalika. Tulikuwa na indoor games nyingi tu. Wakati wa likizo tukiwa sekondari tulikuwa tunasafiri kwa kutumia travel warrants na tunapewa chakula cha njiani. Ajira ilikuwa nje nje, makampuni na mashirika mengi. Uzalendo ulikuwa mbele.

Maisha yalikuwa mazuri ila mambo yakaanza kuharibika baada ya vita vya Uganda vya Oktoba 1978...kwa hiyo debate ya Nyerere inaweza kuleta kuleta mjadala mzito kwa baadhi yenu na hasa wale wasioijua historia ya nchi hii. Hivi baadhi yenu mnafahamu kuwa before independence nchi hii ilikuwa na machifu wakitawala maeneo mbalimbali na katika makabila mbalimbali nchini mwetu? Hali hii ilifutwa after independence na nchi ikawa moja.

Kama watanzania tungekuwa makini na yale aliyoyapanga Nyerere nchi hii ingekuwa mbali mno. Vijiji vya ujamaa alivyoanzisha Nyerere vilikuwa na uzuri wake ingawa ni kweli utekelezaji wake ulikuwa na walakini. Ni katika vijiji vya ujamaa ambapo huduma muhimu kwa wananchi zilizogezwa kama elimu (shule), afya(dispensary), maji na kadhalika. Wakati wa Nyerere watu wengi wakiwemo wazee walijua kusoma na kuandika, hali ilifikia almost 90 per cent. lakini ni kweli kulikuwa na mabaya wakati wa ujamaa. Enterpreneurship ilitoweka, uvivu uliongezeka tukiamini kuwa kila kitu kitaletwa na serikali...hali ndio inayoendelea mpaka sasa ambapo watanzania tukiwa humu ndani ni wavivu tukitaka serikali ifanye kila kitu... Nidhamu nayo imetoweka.. mtu umejenga kwenye hifadhi ukibomolewa unataka serikali ikutafutie kiwanja...wabunge nao wakiwa bungeni kila mara wanalia ...'tunataka serikali ifanye hiki...'.

Mjadala wa Nyerere ni pana lakini kwangu mimi mazuri ya Nyerere ni 90% na mabaya ni 10%.
naona unapiga tu porojo, unaposema "nyerere alileta umoja, kwamba leo unaweza kutoka songea ukenda kuishi tabora bila ya kubuguziwa" ivi kabla ya nyerere ilikua huwezi kufanya hivo? unataka kutuaminisha kwamba kulikua na uhasama kati ya mkoa na mkoa au kabila na kabila yeye akaja kuyapatanisha? tuambie basi ni mkoa gani na mkoa gani au kabila gani na kabila gani aliyakuta na uhasama yeye akawa sababu ya kuyapatanisha.
 
Inategemea definition ya 'uhasama' ni ipi. Hivi wewe unadhani huko Kenya mtu wa Ujaluoni anaweza akatoka tu akaenda Ukikuyuni akaishi kwa amani na kwa raha? Tatizo la vijana wa siku hizi wengi hamjui historia. Usione Vyaelea, vimeundwa. Nyerere alikuwa ni habari nyingine. Alikuwa ni mtu safi, asiye na tama wala makuu. Of course kama binadamu alikuwa na mapungufu yake, lakini kwa ujumla wake Nyerere alikuwa ni thinker, a great leader and a great person.
 
naona umeshindwa kunijibu, badala yake umeendelea kumpamba na kumsifia bila ushahidi wowote, cc vijana wa leo hatujui historia ww unaejua na uliezaliwa wakati wa nyerere tuambie kabla ya nyerere nchi kulikua hakuna umoja? ni jamii zipi nchi hii zilikua na kutokuelewana nyerere akaja kuzipatanisha na kuziunganisha?
kama hakuna ndo yaleyale propaganda za kumsafisha ili aonekane mtukufu
 
Thanks, siwezi kuendelea tena I will be just wasting my time. Nashukuru tu kwamba hukutoa au kuvurumisha matusi, kwa hilo nakushukuru.
 
hahaha matusi ya nn mjomba hapa ni hoja tu, mmezoea kudanganya watu na kuaminisha yasiyokuwepo, kwa vjna wa leo mtaumbuka, nakutakia mchana mwema
 
Hakuwa malaika alikuwa binadamu ila ukihesabu mazuri yake ni mengi kuliko kasoro ndogo ndogo za kiubinadamu.
 
hahaha matusi ya nn mjomba hapa ni hoja tu, mmezoea kudanganya watu na kuaminisha yasiyokuwepo, kwa vjna wa leo mtaumbuka, nakutakia mchana mwema
Nashukuru kwa hoja yako lakini siyo kweli kuwa 'tumezoea kudanganya' na 'kuwaaminisha watu'. Hiyo siyo kweli hata kidogo. Udanganye watu au kuwaaminisha kwa faida ipi. kama vijana wa siku hizi hamtaki kuelewa wa historia ya nchi yenu sasa watu wafanyaje? Nakueleza kuwa zamani makabila yalikuwa almost kila kabila na 'lwake' nyinyi hamtaki kuelewa. Tukikueleza kuwa Nyerere aliona tatizo la mfumo wa elimu kuwa mbovu ambapo shule nyingi zilikuwa ni za kikristo na akaamua kuzitaifisha kwa lengo kuwa watu wote kwa dini zote wapate elimu, nyie hamtaki kuelewa. tunawaambia kuwa baadhi ya mikoa ilikuwa nyuma mno kimaendeleo (Kama Ruvuma, Kigoma na kadhalika) ambako makabila ya huko kama waha, wapangwa, wangoni, walikuwa wakisombwa na kupelekwa kwenye mashamba ya katani kama manamba, nyie hamtaki kuelewa. Tunawaeleza kuwa nyerere alijenga misingi ya usawa, nyie mnasema propaganda. Tunawaeleza kuwa Nyerere alipambana kuondoa udini, ukanda na ukabila, nyie mnasema tunadanganya na kwamba tumezoea kuaaminisha watu. Now what should we do, to tell you people, to educate you and to convince you?
 
muache mzee wa watu apumzike kwa aman, contribution yake katika hii nchi wewe na babu zako hamjaweza changia na hamwezi fikia hata kidogo kwa hicho kidogo alichokitoa kwa tanzania, nyerere alikua na uwezo wakukaa madarakani kama, Mugabe, museven na hamna mtu angemfanya kitu
hebu muache apumzike kama tulivyo muacha mzee wako apumzike in peace, angalia wewe kama wewe utaa Add value gani katika hii nchi.
 
'' Nyerere's limited welfare schemes were always fundamentally a system of patronage, which ensured political and economic benefits for a small elite.''
What a lie..
Hivi watu nchi hii watakuwa tayari wameshasahau elimu ,afya na huduma zingine alizotoa Nyerere..tena bure. Halafu huyu mwanamama mwenye imperialist mentality anasema ''which ensured political and economic benefits for a small elite'' ..kweli ?. Waulize akina Makongoro walisoma shule gani.
Nasema kizazi hiki cha dotcom mjihadhari sana na ''imperialist brainwashing''.Mnachotwa akili taratibu na kulishwa chuki dhidi ya watu waliotutoa utumwani.Na mlaaniwe mnaoabudu maandiko ya mabeberu waliotuachia misingi ya uchumi wa kitumwa.

Nationalizations transformed the government into the largest employer in the country. It was involved from everything from retailing to import-export trade and even baking, creating an environment ripe for corruption. Cumbersome bureaucratic procedures multiplied and excessive tax rates were set. Public funds were misappropriated and put to unproductive use. Purchasing power declined at an unprecedented rate and even essential commodities became unavailable. A system of permits (vibali) allowed elite officials to collect huge bribes in exchange for the vibali and foundation for systemic corruption had been laid. Hope you will understand why she was right or you can live in denial at rest of your life
 
''A system of permits (vibali) allowed elite officials to collect huge bribes in exchange for the vibali and foundation for systemic corruption had been laid...''
Did Nyerere sanction or condone all this vice ? I remember he condemned corruption all his life. So don't try to misconstrue his belief,principles,ideas and what he stood for.If you are knowledgeable enough..all economies pass through crises the world over ...and as a young inexperienced leader he had a very ''steep learning curve'' to scale up... The fact that he stood and fought to try and make this nation great is undeniable.
 
Last edited:
Can you imagine..unapewa uongoze nchi iliyokuwa koloni la mwingereza..huna uzoefu wowote wa kiutawala zaidi ya kuwa mwalimu na mpigania uhuru tu...huna hata wasomi wa kutosha. waliowengi elimu zao ni kama za akina Bibi Titi..kajaribu hata kuunda Jamhuri ya Muungano bila hata ya kumwaga damu ..Niambie ni nani anaeweza kuyafanya haya katika kizazi hiki cha dotcom.

Ndo maana nasema hivi, wanaomlaumu MWALIMU wajilaumu wao kwanza, alifanya yake kwa uwezo aliojaaliwa na Manani na amepumzika kwa amani na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina.
 
Tulipata uhuru
Can you imagine..unapewa uongoze nchi iliyokuwa koloni la mwingereza..huna uzoefu wowote wa kiutawala zaidi ya kuwa mwalimu na mpigania uhuru tu...huna hata wasomi wa kutosha. waliowengi elimu zao ni kama za akina Bibi Titi..kajaribu hata kuunda Jamhuri ya Muungano bila hata ya kumwaga damu ..Niambie ni nani anaeweza kuyafanya haya katika kizazi hiki cha dotcom.
Na
Nyerere aliiacha nchi ikiwa na uzalendo wa hali ya juu, nakumbuka Enzi hizo tunasoma shule ya msingi walimu walikua wanajitolea kutufundisha hata Jumamosi bila kudai malipo yoyote ya ziada, madaktari hali kadhalika, mgonjwa anapokufa mbele yao unawaona wanavyosikitika. Madereva wa makampuni kama KAMATA, KAUMA, KAURU, RAILWAY (wengi walitamka Relwe) walikua wanajiona wanalo deni kufikisha mizigo na abiria sehemu husika on time ingawa barabara zilikua mbovu sana. Kwenye vita ya Idd Amini ambayo tulilazimishwa kupigana, wananchi pamoja na wanajeshi walionesha kwamba kweli wanaipenda Tanzania yao, wapo watu waliotoa Ng'ombe, vyakula na hata watoto wao (hawakua wanajeshi) kwenda kupigana na IDD Amini. Nyerere pia aliiacha watoto wakiwa wanasoma BURE from shule za vidudu (sasa chekechea) hadi nafasi ya u profesa bure na matibabu nayo bure. Hospitali za kulipia zilikuwepo (za makanisa na zilijulikana kama hospitali za mesheni). Kwa upande wa uchumi hali iliaanza kua mbaya hasa mara baada ya vita vya IDD Amini lakini kabla ya hapo mambo yalikua safi sana. Kitu kimoja kilicho haribu sana uchumi (Vita ikiwa ni sababu) ni ile sera ya kulinda viwanda vya ndani na hence kuzuia bidhaa kutoka nje zisiingie kwa wingi, uzalishaji wa viwanda vyetu kama vya Sukari, Sabuni, Mafuta ya kula na hata TIPER ulikua mdogo kuliko mahitaji ya Watanzania na huo ndio ukawa mwanzo wa foleni kwenye maduka ya Ushirika, Duka la Kaya na RTC. Mwinyi yeye akafungua mipaka na hivyo bidhaa kua bwerere madukani but ukawa pia ndio mwanzo wa viwanda vingi kufa. Remember, dunia ya wakati huo ilikua ina policy 2 tu za uchumi, is either uwe Bepari au Mjamaa; mwanzoni mwa miaka ya 90 Ujamaa ukafa duniani na hicho ndicho kilichotokea. Hayo tu kwa UFUPI.
Hapa naona pumba tu hakuna hata mantiki kumuongelea Nyerere ambaye hayupo lakini akili yako na ya bibi yako mkizichanganya kwa pamoja hamuwezi kumfikia Nyerere yeye hayupo lakini maneno yake yanaishi
Nyerere aliiacha nchi ikiwa na uzalendo wa hali ya juu, nakumbuka Enzi hizo tunasoma shule ya msingi walimu walikua wanajitolea kutufundisha hata Jumamosi bila kudai malipo yoyote ya ziada, madaktari hali kadhalika, mgonjwa anapokufa mbele yao unawaona wanavyosikitika. Madereva wa makampuni kama KAMATA, KAUMA, KAURU, RAILWAY (wengi walitamka Relwe) walikua wanajiona wanalo deni kufikisha mizigo na abiria sehemu husika on time ingawa barabara zilikua mbovu sana. Kwenye vita ya Idd Amini ambayo tulilazimishwa kupigana, wananchi pamoja na wanajeshi walionesha kwamba kweli wanaipenda Tanzania yao, wapo watu waliotoa Ng'ombe, vyakula na hata watoto wao (hawakua wanajeshi) kwenda kupigana na IDD Amini. Nyerere pia aliiacha watoto wakiwa wanasoma BURE from shule za vidudu (sasa chekechea) hadi nafasi ya u profesa bure na matibabu nayo bure. Hospitali za kulipia zilikuwepo (za makanisa na zilijulikana kama hospitali za mesheni). Kwa upande wa uchumi hali iliaanza kua mbaya hasa mara baada ya vita vya IDD Amini lakini kabla ya hapo mambo yalikua safi sana. Kitu kimoja kilicho haribu sana uchumi (Vita ikiwa ni sababu) ni ile sera ya kulinda viwanda vya ndani na hence kuzuia bidhaa kutoka nje zisiingie kwa wingi, uzalishaji wa viwanda vyetu kama vya Sukari, Sabuni, Mafuta ya kula na hata TIPER ulikua mdogo kuliko mahitaji ya Watanzania na huo ndio ukawa mwanzo wa foleni kwenye maduka ya Ushirika, Duka la Kaya na RTC. Mwinyi yeye akafungua mipaka na hivyo bidhaa kua bwerere madukani but ukawa pia ndio mwanzo wa viwanda vingi kufa. Remember, dunia ya wakati huo ilikua ina policy 2 tu za uchumi, is either uwe Bepari au Mjamaa; mwanzoni mwa miaka ya 90 Ujamaa ukafa duniani na hicho ndicho kilichotokea. Hayo tu kwa UFUPI.
Hayo ya makampuni ya UMMA yalianza kufa wakati wa Nyerere. Kudanganya watu kuwa Nyerere aliyafanya yakawa imara si kweli. Unakumbuka mabasi ya kamata yalikuwa katika hali gani wakati wa Nyerere. Nyerere alijiaminisha kuwa nchi itaendesha na kila kitu kutoka serikalini. Ukitaka kusafiri ilikuwa lazima utoe rushwa ndio upate ticket. Unasubiri mwezi kusafiri. Treni inajaa vibaya mno kwa sababu hakukuwa na usafiri mbadala. Viwanda vya nguo vikawafanya watu watembee na viraka. Hakuna mali ghafi. Sukari ni shida. Akakusanya watu eti vijijini vya ujamaa. Uzalishaji ukapungua. Kupororomoka kwa uchumi kulichochewa na vita vile. Uchumi tayari ulikuwa mbovu.
 
Back
Top Bottom