johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,050
- 164,358
Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba.
Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji.
Hivi hii ndoto ya Nyerere inaweza kutimia kwa namna gani?
Maendeleo hayana vyama!
Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji.
Hivi hii ndoto ya Nyerere inaweza kutimia kwa namna gani?
Maendeleo hayana vyama!