View attachment 511495
[1] Aliapay ni njia ya malipo iliyosalama kama ilivyo kwa Paypal etl - Ni baada ya kuthibisha kuwa umepokea mzigo ndipo seller anapewa fedha yako.
- Ili kuepuka kuingiza taarifa zako za kadi ya benki kila ufanyapo malipo, unatakiwa ku_add/link card yako alipay, yaani kama ulivyo link kadi yako na paypal.
[2] Aliexpress
ni salama, rejea maelezo ya [1] hapo juu, piaukiangalia picha hapo juu, nimenunua bidhaa kwa zaidi ya mara 240, na mizigo yote imefika. Mizigo saba natarajia kupokea ndani ya wiki 1 -2
[3] Mizigo yote inafika.
- Sijawahi kukutana na hili swala la kulipia mzigo nairobi.
- Utalipiwa vipi mzigo nairobi wakati uko njiani kwenda nchi nyingine husika??