Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,371
- 20,231
- Thread starter
- #681
Iko hapa: Fahamu Jinsi ya Kulink/Kuregister Paypal account TanzaniaKAKA NAOMBA MSAADA KWENYE KU LINK KAD KWENYE PAYPAL KIPENGELE CHA CSC/CVC KINAJAZWA NINI?
Iko hapa: Fahamu Jinsi ya Kulink/Kuregister Paypal account TanzaniaKAKA NAOMBA MSAADA KWENYE KU LINK KAD KWENYE PAYPAL KIPENGELE CHA CSC/CVC KINAJAZWA NINI?
Nimeipenda Sana hii. Mjasiriamali mwenzanguOkay nitafutie Kubota combine harvester DC 35 kutoka Vietnam au Philippines niambie gharama yake na yako
Umeona,twende na teknolojia mkuuNimeipenda Sana hii. Mjasiriamali mwenzangu
Mkuu naomba maelezo jinsi ya ku-link Alipay. je nayenyewe unachukua code bank?View attachment 511495
[1] Aliapay ni njia ya malipo iliyosalama kama ilivyo kwa Paypal etl - Ni baada ya kuthibisha kuwa umepokea mzigo ndipo seller anapewa fedha yako.
- Ili kuepuka kuingiza taarifa zako za kadi ya benki kila ufanyapo malipo, unatakiwa ku_add/link card yako alipay, yaani kama ulivyo link kadi yako na paypal.
[2] Aliexpress ni salama, rejea maelezo ya [1] hapo juu, piaukiangalia picha hapo juu, nimenunua bidhaa kwa zaidi ya mara 240, na mizigo yote imefika. Mizigo saba natarajia kupokea ndani ya wiki 1 -2
[3] Mizigo yote inafika.
- Sijawahi kukutana na hili swala la kulipia mzigo nairobi.
- Utalipiwa vipi mzigo nairobi wakati uko njiani kwenda nchi nyingine husika??
Nahitaji hii
Mkuu samahani hiyo gharama hadi napokea mzigo
AsanteSahihi
habariMwl sijapata feedback
http://www.handvietnam.com/kubota-combine-harvester-dc-35.html