- Thread starter
- #41
Majengo hata mwaka hayajamaliza unataka yajae kwa 100%!? Acha kukurupuka.
Kawaida jengo likifika miezi sita linatakiwa angalau liwe na wapangaji kwa asilimia 40% ya jengo.....Sasa hayo ya NSSF na PPF ndio kwanza yamezinduliwa na mhe rais juzi tu.
NSSF Arusha wamemaliza zaidi ya Mwaka na Jengo halijafikisha hata 30% na no signs. Arusha kuna Maghorofa mengi kama Summit, NSSF Kaloleni, Manjis, Mollel Building..... Washindani ni wengi, na je huko juu ghorofani ndo basi tena, wangeweka bei nzuri, affordable
Rental prices are too high for normal standard business..