Novel pendwa za fasihi

iddy eba

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
573
1,171
Naomba huu uzi uweze kutukutanisha sie wapenda kusoma novel za fasihi haswa zile za English..
Kuna novel nmezikumbuka ila sijui wapi kwa kuzipata kwa kweli..

Kitu kama IT IS POSSIBLE? ya Ole kulet
I WILL MARRY WHEN I WANT ya ngungi wa thiong'o... Kuna yeyote mwenye navyo hivi

Kama pia kuna novel nyingine kali waweza share nasi hapa
 
download pdf ya kitabu cha pili uliochotaja. link hio hapo

http://www.socialiststories.com/liberate/I Will Marry When I Want - Ngugi wa Thiong'o.pdf
 
Hiyo moja nadhani ni "IS IT POSSIBLE"? na siyo IT IS POSSIBLE?
 
Things fall apart by chinua achebe. A man of the people. This time tomorrow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…